Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nitatumia mbinu gani natamani nimwambie ila nitaanzaje asijisikie vibaya? Atahisi ndio sababu ya kutompa ushirikiano wa maombi yake kwangu.Siku moja mwambie ukweli ikiwezekana muelekeze hospital nzuri, hawezi kuchukia
Atajiskia atakavyojiskia ila utakua umemsaidiaSijui nitatumia mbinu gani natamani nimwambie ila nitaanzaje asijisikie vibaya? Atahisi ndio sababu ya kutompa ushirikiano wa maombi yake kwangu.
Tukusaidiaje wakati mumeshaachana...Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto,tunawasaidiaje?
Trichomonas vaginatis(trichomoniasis) unaijua?..Harufu ile mbaya sana sio ya fangasi..hapo ni kumeza tu antiprotozoa kama Metronidazole,Tinidazole,Ornidazole..Cha kumsaidia hapo kama kweli unampenda mwambie unajihisi kama una UTI kwa hiyo muende wote hospital mkapime muanze dozi, mkifika hospital pimeni magonjwa yote hadi ya zinaa, yeye lazima ataonekana na fangasi na hapo hapo ataanzishiwa dozi,
Harufu mbaya ukeni ni fangasi na wengi hawatumii dawa vizuri na kufata masharti hadi inakua sugu.
Uko sahihi na madaktari wengi mnacheza na akili zao,kila ugonjwa mnawaambia ni UTITrichomonas vaginatis unaijua?..Harufu ile mbaya sana sio ya fangasi..hapo ni kumeza tu antiprotozoa kama Metronidazole,Tinidazole,Ornidazole..
Kama ni Chlamydia antibiotics zitahusika..
Shida ya wadada wanadhani harufu mbaya ni UTI..yaani kila kitu ni UTI..kumbe sio hivyo
Sihofii Hilo tu. Nitampoteza mteja wangu wa uhakikaAtajiskia atakavyojiskia ila utakua umemsaidia
Trichomonas vaginatis unaijua?..Harufu ile mbaya sana sio ya fangasi..hapo ni kumeza tu antiprotozoa kama Metronidazole,Tinidazole,Ornidazole..
Kama ni Chlamydia antibiotics zitahusika..
Shida ya wadada wanadhani harufu mbaya ni UTI..yaani kila kitu ni UTI..kumbe sio hivyo
Kuna mtu anaizoea harufu mbaya? Ukikaa karibu na choo kinachonuka kuna mda unaizoea ile hali? Na ukawa sawa kabisaAmeishazoea harufu yake hajui kama anahilo tatizo
Kwa kua amekutongoza huyo tayari una mmudu mwambie ili umkubalie mkapime kwanza Afya kwa maana ya magonjwa yote hasa ya Zinaa, akikubali tu, mwambie aende hospital na akuletee majibu na wewe utampa yako,Sijui nitatumia mbinu gani natamani nimwambie ila nitaanzaje asijisikie vibaya? Atahisi ndio sababu ya kutompa ushirikiano wa maombi yake kwangu.