MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mpeleke car wash akapigwe maji ya pressure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nasema wapo, mfano huyo huyo kama wewe unaisikia harufu ina maana hata yeye anaisikia ila anajipa moyo kua anaipata peke yake, na wanawake wengi huona aibu kujieleza hali zao za uke hospital hapo ukute anajisweka mavitunguu saumu, maziwa mtindi, ndio wanavyoshauriana huko kwenye vikundi vyao,Kuna mtu anaizoea harufu mbaya? Ukikaa karibu na choo kinachonuka kuna mda unaizoea ile hali? Na ukawa sawa kabisa
Nitafanya hivyo kwa faida yake akikataa basi.Kwa kua amekutongoza huyo tayari una mmudu mwambie ili umkubalie mkapime kwanza Afya kwa maana ya magonjwa yote hasa ya Zinaa, akikubali tu, mwambie aende hospital na akuletee majibu na wewe utampa yako,
Simple tu.
kwenye ishu ya afya mtu unaogopea nini kueleza ili upate msaada kwa sababu kadri mda unavyoenda ndio hali inazidi kuwa mbaya.Mimi nasema wapo, mfano huyo huyo kama wewe unaisikia harufu ina maana hata yeye anaisikia ila anajipa moyo kua anaipata peke yake, na wanawake wengi huona aibu kujieleza hali zao za uke hospital hapo ukute anajisweka mavitunguu saumu, maziwa mtindi, ndio wanavyoshauriana huko kwenye vikundi vyao,
Unakuta mwingine ananuka jasho kali na wala hastuki bado wale wanaonuka mdomo uwiiii, mimi kwa kweli siwezi kuvumilia harufu mbaya nitamwambia tu mtu akichukia na achukie ila ajue.
Sikuwa nalijua hilo mkuuHarufu inazoeleka ndugu yangu,ukitaka ulaya ukatua DSM unaona mji wote unanuka Ila wenye mji wao hawana habari
Mwaka Jana nilikuwa nimetoka kuoa Mwanamke ambae alikuwa na tatizo Kama Hilo nilivumilia Sana Ila badae ikabidi nimwambie ukweli nikihofia tatizo like lisije likaathiri Hadi afya ya uzazi kumbe alikuwa na fungal infection na aliumia Sana Ila alikubali ukweli na nikaensa nae kituo Cha afya ambapo waligundua tatizo Hilo na kumpa dose ikiwemo VAGINAL CREAM ANTI FUNGAL ambayo alikuwa anapaka sehemu za Siri kwa wiki nzima no sex at that period...baada ya wiki tatizo liliisha and we enjoy the thing.Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
la kwanza tuwaambie ba tuwapeleke hospitaliNiliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Na shida ya harufu ukishaizoea tu ni shida, kuna hata nyumba za watu unakuta kuna viharufu fln hv vinachukiza kweli ila wao washazoea coz wanakaa humo 24/7/365Ameishazoea harufu yake hajui kama anahilo tatizo
Kaukweli fln hv unpopularKuna wanaoesema ile harufu kama dagaa wa ferry ndio inawapa stimu ya kunyandua papa vizuri😂😂😂😂😂
Ulishawahi kupata tatizo husika? Maana nimevutiwa na maelezo uliyotoa hapoCha kumsaidia hapo kama kweli unampenda mwambie unajihisi kama una UTI kwa hiyo muende wote hospital mkapime muanze dozi, mkifika hospital pimeni magonjwa yote hadi ya zinaa, yeye lazima ataonekana na fangasi na hapo hapo ataanzishiwa dozi,
Harufu mbaya ukeni ni fangasi na wengi hawatumii dawa vizuri na kufata masharti hadi inakua sugu.
Wewe ndo unajisikia vibaya hivi inawezekanaje mtu unapewa samaki badala ya joka halafu ujisikie vibaya?Sijui nitatumia mbinu gani natamani nimwambie ila nitaanzaje asijisikie vibaya? Atahisi ndio sababu ya kutompa ushirikiano wa maombi yake kwangu.
Kila mtu Ana namna yake anavyolipokea jambo. Kuna watu ukiwaambia ukweli hata Kama ni msaada kwao wanakuchukia.Wewe ndo unajisikia vibaya hivi inawezekanaje mtu unapewa samaki badala ya joka halafu ujisikie vibaya?
Usimhukumu we msaidie Kwa kumwambia ukweli, kivyovyote vile baadae atakushukuru.Kila mtu Ana namna yake anavyolipokea jambo. Kuna watu ukiwaambia ukweli hata Kama ni msaada kwao wanakuchukia.
Sawa mkuu nitafanya hivyoUsimhukumu we msaidie Kwa kumwambia ukweli, kivyovyote vile baadae atakushukuru.
Harufu si kutokua msafi. Hakikisha anaoga kabla ya tendoCha kumsaidia hapo kama kweli unampenda mwambie unajihisi kama una UTI kwa hiyo muende wote hospital mkapime muanze dozi, mkifika hospital pimeni magonjwa yote hadi ya zinaa, yeye lazima ataonekana na fangasi na hapo hapo ataanzishiwa dozi,
Harufu mbaya ukeni ni fangasi na wengi hawatumii dawa vizuri na kufata masharti hadi inakua sugu.