Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

ni kweli kabisa,,,,ila wadada wengi naona hiyo hygiene hawana sijui hatuna[emoji119][emoji119] ,wanaishia kidhalilishwa kama hivi.... ila mimi siwezagi kuvumilia ile harufu nikiiskia tu lazima ntakuita chemba nikwambie na hua sijali utajiskiaje kwasababu najua nimekusaidia
Naam, tuwe na utaratibu wa kuambizana ukweli sababu ni afya ya mtu inayozungumziwa, binaadam huwezi ukatoa harufu kama Samaki au Mzoga wa Panya lazima ni tatizo tena kubwa na linapaswa kutibiwa haraka, sielewi Mtu anaona ugumu gani kumwambia Muhanga wa hilo jambo ila Malaria au Typhoid tunashauriana tukapime bila wasi wasi,

Muhimu ni jinsi ya kumwambia mtu ili asijisikie vibaya.
 
Huwa ni UTI na Infection kama Candida muhimu apate matibabu japo matibabu ya antibiotics kwa muda mrefu huuwa kinga ya uke unakuwa huishi yeast infection Fungus na kupewa somo la kulinda uke wake na jinsi ya kusafisha wengi wanadanganywa ma ma group sijui masomo wanatia mavitu uke uwe na joto sijui mtamu akijisafisha sasa midole anaitia tu anakwagua dadek uke unabaki mkavu misabuni sasa nayo anauwa bacteria wote wa ulinzi ukeni unakuta akichamba ana mix mbele nyuma analeta bacteria wa njia ya haja kubwa hapo hajakutana na limwanaume eti linapiga brush nyuma linadumbukiza mbele hapo hajakutana na limwanaume linatia tia midole yake halijanawa wala kukata kucha pumbavu mwanamke kataa sex na mwanaume mpaka aoge apige mswaki lisitoke huko na mijasho yake mikojo ya kutwa likakuparamia tu
[emoji2] hapo kwenye midawa ya kuongeza sijui utamu mara vipipi utamu mara ukalie maji ya vugu vugu inachanganya sijui na muarobaini inakua mnato[emoji119]
 
Hapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,

-Asichangie vyombo vya chooni na pia awe ana kawaida ya kuvisafisha kila wiki,

-Aoshe Uke kwa Maji mengi bila sabuni, wengi hutumia sabuni tena zile medicated soap au za kunukia akiamini ndio anasafisha kumbe anajiharibu,

- Aingize kidole na kutoa uchafu wote wa juu juu hapa napo ni mtihani maana wengi huambiwa wasiingize kidole uke unajisafisha wenyewe, ni kweli lakini unatoa uchafu kutoka ndani na kuuacha kwenye kingo mchache unatoka hadi kwenye chupi sasa ukiulimbikiza ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kuanza kuwashwa,

- Akimaliza kufanya mapenzi ajisafishe kwa maji mengi na ahakikishe shahawa zote zimetoka kwa kujikamua, kuacha shahawa ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kutengeneza miwasho na fangasi,

-Abadili chupi walau mara mbili kwa siku, asishinde na chupi moja siku nzima

-Avae chupi aina ya Cotton na sio Materials zingine

-Akikojoa anawe kwa maji na kujikausha kwa tissue sio kutumia tissue pekee ndio mwanzo wa kufuga uvundo au maji pekee bila kujikausha unatengeneza unyevu,

- Asitie viungo kwenye uke kama vipipi, shabu, mnato wa kisomali, vitunguu saumu, mafuta ya miski, n.k

MUHIMU: Wakitaka kufanya Mapenzi waogeshane kwanza, haya mambo ya kuparamiana na mijasho na uvundo mwisho wake ni kuanzishiana thread [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi wale wanaonyonya nyuchi za wanawake wanasema eti mate yanasababisha fangasi kwenye uke? Kwako Dr. Mariposa...,
 
Naam, tuwe na utaratibu wa kuambizana ukweli sababu ni afya ya mtu inayozungumziwa, binaadam huwezi ukatoa harufu kama Samaki au Mzoga wa Panya lazima ni tatizo tena kubwa na linapaswa kutibiwa haraka, sielewi Mtu anaona ugumu gani kumwambia Muhanga wa hilo jambo ila Malaria au Typhoid tunashauriana tukapime bila wasi wasi,

Muhimu ni jinsi ya kumwambia mtu ili asijisikie vibaya.
yeah ukimwambia tu kistaarabu kama ni muelewa anaelewa kuliko kumwacha na kumsemea pembeni kama hivi, haisaidii kitu
 
Hili nalo linazidi kuwa janga.

Kuna Dada mmoja n mteja wangu anafanya ofisi X sijui huko ofisini wanashindaje nae 😑

Sijui Kama analijua tatizo lake maana hata ukikaa nae karibu unaipata harufu.

Ni mzuri ila changamoto yake ni hiyo ameshanitongoza zaidi ya mara 3 ila simpi ushirikiano wowote.

Nadhan wenye changamoto hii wanastruggle Sana kupata wenza na kudumu nao kwenye mahusiano.
Hiyo harufu midwabwada nakulia ugali. Nipe namba yake
 
Mimi nasema wapo, mfano huyo huyo kama wewe unaisikia harufu ina maana hata yeye anaisikia ila anajipa moyo kua anaipata peke yake, na wanawake wengi huona aibu kujieleza hali zao za uke hospital hapo ukute anajisweka mavitunguu saumu, maziwa mtindi, ndio wanavyoshauriana huko kwenye vikundi vyao,

Unakuta mwingine ananuka jasho kali na wala hastuki bado wale wanaonuka mdomo uwiiii, mimi kwa kweli siwezi kuvumilia harufu mbaya nitamwambia tu mtu akichukia na achukie ila ajue.
Huu mtindi nakubali.... Mana hata juzi nimekutana na vitu vya ajabu sana. Yani sivielewielewi... Sijui kamshauri nan pimbi yule
 
Hapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,

-Asichangie vyombo vya chooni na pia awe ana kawaida ya kuvisafisha kila wiki,

-Aoshe Uke kwa Maji mengi bila sabuni, wengi hutumia sabuni tena zile medicated soap au za kunukia akiamini ndio anasafisha kumbe anajiharibu,

- Aingize kidole na kutoa uchafu wote wa juu juu hapa napo ni mtihani maana wengi huambiwa wasiingize kidole uke unajisafisha wenyewe, ni kweli lakini unatoa uchafu kutoka ndani na kuuacha kwenye kingo mchache unatoka hadi kwenye chupi sasa ukiulimbikiza ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kuanza kuwashwa,

- Akimaliza kufanya mapenzi ajisafishe kwa maji mengi na ahakikishe shahawa zote zimetoka kwa kujikamua, kuacha shahawa ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kutengeneza miwasho na fangasi,

-Abadili chupi walau mara mbili kwa siku, asishinde na chupi moja siku nzima

-Avae chupi aina ya Cotton na sio Materials zingine

-Akikojoa anawe kwa maji na kujikausha kwa tissue sio kutumia tissue pekee ndio mwanzo wa kufuga uvundo au maji pekee bila kujikausha unatengeneza unyevu,

- Asitie viungo kwenye uke kama vipipi, shabu, mnato wa kisomali, vitunguu saumu, mafuta ya miski, n.k

MUHIMU: Wakitaka kufanya Mapenzi waogeshane kwanza, haya mambo ya kuparamiana na mijasho na uvundo mwisho wake ni kuanzishiana thread [emoji23][emoji23][emoji23]
Mh umejuaje yote haya wewe mdada according to your sexual orientation au umehadithiwa?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Trichomonas vaginatis unaijua?..Harufu ile mbaya sana sio ya fangasi..hapo ni kumeza tu antiprotozoa kama Metronidazole,Tinidazole,Ornidazole..

Kama ni Chlamydia antibiotics zitahusika..

Shida ya wadada wanadhani harufu mbaya ni UTI..yaani kila kitu ni UTI..kumbe sio hivyo
Mkuu

Na gentamycine ya kuchoma na sindano inatibu nini KWA WANAWAKE!!?
 
Hapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,

-Asichangie vyombo vya chooni na pia awe ana kawaida ya kuvisafisha kila wiki,

-Aoshe Uke kwa Maji mengi bila sabuni, wengi hutumia sabuni tena zile medicated soap au za kunukia akiamini ndio anasafisha kumbe anajiharibu,

- Aingize kidole na kutoa uchafu wote wa juu juu hapa napo ni mtihani maana wengi huambiwa wasiingize kidole uke unajisafisha wenyewe, ni kweli lakini unatoa uchafu kutoka ndani na kuuacha kwenye kingo mchache unatoka hadi kwenye chupi sasa ukiulimbikiza ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kuanza kuwashwa,

- Akimaliza kufanya mapenzi ajisafishe kwa maji mengi na ahakikishe shahawa zote zimetoka kwa kujikamua, kuacha shahawa ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kutengeneza miwasho na fangasi,

-Abadili chupi walau mara mbili kwa siku, asishinde na chupi moja siku nzima

-Avae chupi aina ya Cotton na sio Materials zingine

-Akikojoa anawe kwa maji na kujikausha kwa tissue sio kutumia tissue pekee ndio mwanzo wa kufuga uvundo au maji pekee bila kujikausha unatengeneza unyevu,

- Asitie viungo kwenye uke kama vipipi, shabu, mnato wa kisomali, vitunguu saumu, mafuta ya miski, n.k

MUHIMU: Wakitaka kufanya Mapenzi waogeshane kwanza, haya mambo ya kuparamiana na mijasho na uvundo mwisho wake ni kuanzishiana thread [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee..!!
 
Sasa akitaka kupata mimba itakuaje kama akizitoa mbegu?
 
Back
Top Bottom