Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Bacteria Vaginosis ndiyo hupelekea Vaginal odor (usitumie neno stink au kunuka).
Hiyo husababishwa bacterial inbalance, bad bacterial wakiingia ukeni na hupelekea mapambano na bacteria wanaolinda uke au ule mchangamano wao ndiyo hupelekea inbalance inaykwenda ku trigger hiyo Vaginal odor.
Bacteria hao huingia ukeni unapoanza kushirikiana na mpenzi mpya, au mwanamke anapokua anashirikiana na wapenzi tofauti tofauti, pia mapenzi ya kunyonywa uke kwa mdomo
Kama wewe ni mwanamke na unafanya yote hayo na haujawahi kupata, hii haimaanishi kuwa ni uongo, bali ni kiashiria kwamba una strong immune na pH yako ipo on.
Kingine kinachosababisha harufu ni vile vyote vinavyoweza kusababisha vagina pH kuwa off, mfano kupaka deodorant around vigina au other products, kuosha vagina kwa sabuni, kumbuka, vigina inatakiwa kuoshwa na maji tu, vagina ni kama jicho kitabia, pia treatment yake.
Kisichotakiwa kugusa jichoni, hicho pia hakitakiwi kuugusa uke.
Pia, unywaji kidogo wa maji na kuwa na mazoea ya kwenda haja ndogo pasipo kujisafisha.
Kutibu hivi ni kuanza kutenda kinyume chake