Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Sema kwel...Unachosema inaweza kuwa sahihi kuna wanangu wawili walikuwa wakali wa kufyonza nyuchi
Mmoja meno yalianza kung'oka sijui kuna acid kali zikafanya meno yaanze kulegea na kung'oka kule chini mwingine tulimzika cancer ya koo ilimuondoa
Huu ni msaada mkubwa Sana Kwa hawa wenzetu😀Japo wanapita kwenye huu Uzi kimya kimya,Ila kuna waliokosa mume sababu ya harufuA:
1. Tab Fluconazole 150mg every 72hours x 3 doses,
then 150mg weekly for 6months
au
2.Tab Itraconazole 200mg twice daily x 3 days,
then 200mg daily x 6 months.
B:
1. Boric acid 600mg intravaginally daily for 3weeks
au
2. Flucytosine 15.5% vagina cream daily x 2weeks
au
3.Amphotericin B 50mg vaginal suppository daily x 2 weeks
Atumie
1. aina moja ya kunywa from group A
2. Aina moja ya kuweka ukeni from group B
Ni kweli mkuuSema kwel...
Bacteria Vaginosis ndiyo hupelekea Vaginal odor (usitumie neno stink au kunuka).Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Asante Mganga!Trichomonas vaginatis(trichomoniasis) unaijua?..Harufu ile mbaya sana sio ya fangasi..hapo ni kumeza tu antiprotozoa kama Metronidazole,Tinidazole,Ornidazole..
Kama ni Chlamydia au bacterial vaginosis nyingine antibiotics zitahusika..
Shida ya wadada wanadhani harufu mbaya ni UTI..yaani kila kitu ni UTI..kumbe sio hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Na shida ya harufu ukishaizoea tu ni shida, kuna hata nyumba za watu unakuta kuna viharufu fln hv vinachukiza kweli ila wao washazoea coz wanakaa humo 24/7/365
Ukiona hivyo umetembea na demu afu anatoa majimaji ambayo yanagusa kende zako afu zinaanza kuwasha "JUA WEWE NDIYO UNA TATIZO LA FUNGUS KWENYE KENDE ZAKO SEMA TU HAZIJAANZA KUJITOKEZA KWENYE NGOZI YA PUMBU ILA HAO FUNGUS WANA REACT ILE ACID YA MAJIMAJI YA UKENI" Nunua Vitamin B complex za 500 mkuu meza alafu rudi kwa huyo mwanamke uone kama kengele zitawasha tena..Kuna wale Wana harufu halafu Yale maji maji yao yakulowanishe kwenye makende yanawasha kinoma Yani yanawasha mfano wa acid.
Mkuu Sina fungus nipo fresh shida ni huyo demu yeye mwenyewe anajijua kama ni hivo hata sabuni zingekuwa zinaniwasha maana Zina acid pia.Ukiona hivyo umetembea na demu afu anatoa majimaji ambayo yanagusa kende zako afu zinaanza kuwasha "JUA WEWE NDIYO UNA TATIZO LA FUNGUS KWENYE KENDE ZAKO SEMA TU HAZIJAANZA KUJITOKEZA KWENYE NGOZI YA PUMBU ILA HAO FUNGUS WANA REACT ILE ACID YA MAJIMAJI YA UKENI" Nunua Vitamin B complex za 500 mkuu meza alafu rudi kwa huyo mwanamke uone kama kengele zitawasha tena..
Umeeleweka mtaalamuTrichomonas vaginatis(trichomoniasis) unaijua?..Harufu ile mbaya sana sio ya fangasi..hapo ni kumeza tu antiprotozoa kama Metronidazole,Tinidazole,Ornidazole..
Kama ni Chlamydia au bacterial vaginosis nyingine antibiotics zitahusika..
Shida ya wadada wanadhani harufu mbaya ni UTI..yaani kila kitu ni UTI..kumbe sio hivyo
Sasa chupi nyingi ndo ziko hivoBaada ya hapo amnunulie chupi za cotton au zile nzuri za kawaida ila katikati zinakua na kitambaa sio cha nylon....asivae zile chupi za buku buku jero jero zinamwagwa chini vile ni viwanda vya fangasi