Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

Mada kama hii ilishajadiliwa sana humu, tafuta nyuzi zake utapata majibu yote Mkuu...

Source kubwa ni Uchafu au Ugonjwa...kama alijisafisha vizuri kabisa siku ya pili basi nakushauri mkamwone daktari wa wanawake anaweza kumsaidia

Ni vizuri umsindikize kuonesha upendo na kujali
 
nakumbuka kipindi tupo primary kuna manzi alikuwa anatoaga halufu ambayo wanafunzi wote atukai darasani....

wengine wanazaliwaga hivyo....kama tu kutoa halufu mdomoni, kwapa, yaani kuna watu hata deodorant huwa zinadunda.
 
yaani unataka kusema alipojichanua au kujibenjua tu kunako 6kwa6 ukahisi feri ya magogoni imehamia magetoni au mi ndo sijaelewa?
 
Nilienda Morogoro nikakutana na mtoto mmoja wa Singida anatoa harufu siielewi. Siku ya kwanza nikajilazamisha siku ya pili alipofika nikamlazimisha aingie bafuni, niligundua ni mchafu. Bado harufu ikawepo.

Kesho yake nikaenda kula ugali samaki nikachagua mkubwa kumbe ni wale wanaitwa perege. Kuweka mdomoni hivi harufu ya yule demu hii hapa, ileile kabisa. Nikaachana na perege sijawahi kula tena. Sikupata connection ya yeye kula perege na kutoa harufu yake ileile. Nilimuuliza akadai huwa anapenda sana hao samaki. Nilimuacha instantly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…