The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Harufu, harufu yaani harufu hadi inaleta hitilafuHamna kawaida kwenye harufu mbaya, labda dampo.
Muende hospitali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harufu, harufu yaani harufu hadi inaleta hitilafuHamna kawaida kwenye harufu mbaya, labda dampo.
Muende hospitali.
Dalili za Cancer of the cervixHivi hii hali ya mwanamke kunuka shombo la samaki kunako faragha ni kawaida au ni ugonjwa?
Kuna siku moja nilikua na mwanamke tukivunja amri ya sita sasa katika ile in and out nikaanza kuskia harufu ya shombo la samaki utadhani tupo kivukoni kwenye soko la samaki.
Ile hali kiukweli kila ilipokua inaanza ilinikata sana stimu ya kuendelea kunyanduana
Nilidhani huenda labda siku ile yule mwanamke huenda hajajisafisha vizuri lakini hata siku nyingine nilipokutana nae faragha hali ilikua ni ileile hali iliyopelekea mpaka leo nimpotezee na nikwepe kukutana nae.
Je, hali hii kwa wanawake huwa ni maumbile tu au ni ugonjwa? Mana ikianza wakati tuko faragha inakata stimu ile mbaya ya kuendelea kuchakata mbususu.
Kuna yoyote humu ashawahi kukutana na hali kama hii?
Mkolochi inaonyesha yeye ni nesi au daktari,kwa namna alivyoomba udhuru kwa @Ushimen.Mkolochi anasema analaza wakubwa na wadogo... si mtu wa hospitali huyu,eti wikolo?We mkolochi acha upuuz
Saidia kuelimisha hao watotoKuna wakati inabidi uwe mchunguzi kidogo, mfano akiwa katoka P, huwa sipendi kucheza rede. Baada ya siku mbili hivi ndio walau....unajua kwa nini??
Pole, nawe unashida kama ya mdogo wangu hasikii harufu, na baba pia alikuwa hasikii harufu maisha yake yote.Mkuu Muna bahati nyie munaoweza kusikia harufu ya papuchi wengine hata hiyo harufu hatuisikii kwahiyo tunaweza kuwa tunakula panaponuka BIla kujua.
Mkuu hapa vita ya pili ya dunia unatafuta.Siku moja mwambie ukweli ikiwezekana muelekeze hospital nzuri, hawezi kuchukia
Du hili tatizo halina dawa kwani.Pole, nawe unashida kama ya mdogo wangu hasikii harufu, na baba pia alikuwa hasikii harufu maisha yake yote.
Hii ni kwa wale wenye fungus ukeni. Ila kama ni bacteria vaginiasis ni lazima atumie antibiotics. Ni Muhimu sana kwa wanawake kutumia probiotics ili kuweka ulinzi wa uke dhidi ya maambukizi. Vaginal PH kama haiko sawa, ni rahisi kupata maambukizi.A:
1. Tab Fluconazole 150mg every 72hours x 3 doses,
then 150mg weekly for 6months
au
2.Tab Itraconazole 200mg twice daily x 3 days,
then 200mg daily x 6 months.
B:
1. Boric acid 600mg intravaginally daily for 3weeks
au
2. Flucytosine 15.5% vagina cream daily x 2weeks
au
3.Amphotericin B 50mg vaginal suppository daily x 2 weeks
Atumie
1. aina moja ya kunywa from group A
2. Aina moja ya kuweka ukeni from group B
Hitilafu 😂😂😂Harufu, harufu yaani harufu hadi inaleta hitilafu
Harufu ya fish ni Kwa wadada waliotoa Mimba kienyeji na hakupata antibiotics sahihi za kumsaidia kuepuka maambukizi au mashambulizi ya bacteria wabaya
Ning'ate wapi?Hitilafu 😂😂😂
Eti wikolo mkolechi au mkolochi usiharibu lugha za watu wee mlumendo.[emoji16]Mkolochi inaonyesha yeye ni nesi au daktari,kwa namna alivyoomba udhuru kwa @Ushimen.Mkolochi anasema analaza wakubwa na wadogo... si mtu wa hospitali huyu,eti wikolo?
Mkolechi wee sijui wewe ni mlumendo au mhala.[emoji3]We mkolochi acha upuuz
Hahahaa! aya mkuu...😁😁Eti wikolo mkolechi au mkolochi usiharibu lugha za watu wee mlumendo.[emoji16]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kuna ile harufu ya kawaida na kuna hiyo harufu anayoongelea mtoa mada ni tofautiBabe katoka Buza huko mbali kafika tu ghetto unamparamia hata hajaoga na joto hili utashindwa kusukia harufu ya kukera kweli, zingatieni usafi kabla ya mnyanduano