Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

Hivi hii hali ya mwanamke kunuka shombo la samaki kunako faragha ni kawaida au ni ugonjwa?

Kuna siku moja nilikua na mwanamke tukivunja amri ya sita sasa katika ile in and out nikaanza kuskia harufu ya shombo la samaki utadhani tupo kivukoni kwenye soko la samaki.

Ile hali kiukweli kila ilipokua inaanza ilinikata sana stimu ya kuendelea kunyanduana

Nilidhani huenda labda siku ile yule mwanamke huenda hajajisafisha vizuri lakini hata siku nyingine nilipokutana nae faragha hali ilikua ni ileile hali iliyopelekea mpaka leo nimpotezee na nikwepe kukutana nae.

Je, hali hii kwa wanawake huwa ni maumbile tu au ni ugonjwa? Mana ikianza wakati tuko faragha inakata stimu ile mbaya ya kuendelea kuchakata mbususu.

Kuna yoyote humu ashawahi kukutana na hali kama hii?
Dalili za Cancer of the cervix
 
A:
1. Tab Fluconazole 150mg every 72hours x 3 doses,
then 150mg weekly for 6months
au
2.Tab Itraconazole 200mg twice daily x 3 days,
then 200mg daily x 6 months.

B:
1. Boric acid 600mg intravaginally daily for 3weeks
au
2. Flucytosine 15.5% vagina cream daily x 2weeks
au
3.Amphotericin B 50mg vaginal suppository daily x 2 weeks

Atumie
1. aina moja ya kunywa from group A
2. Aina moja ya kuweka ukeni from group B
Hii ni kwa wale wenye fungus ukeni. Ila kama ni bacteria vaginiasis ni lazima atumie antibiotics. Ni Muhimu sana kwa wanawake kutumia probiotics ili kuweka ulinzi wa uke dhidi ya maambukizi. Vaginal PH kama haiko sawa, ni rahisi kupata maambukizi.
 
Back
Top Bottom