Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko

Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo kwako awe na huruma na uchungu wa tatizo la nyumbani kwako serious, kuna mambo huwa yanashangaza sana mda mwingine

Uwezo wa kutengeneza dawa ya ebola na marbug tunao kama tukiamua na tukiacha akili za utegemezi

DAWA YA KUTIBU SYMPTOMS ZA EBOLA NA MARBUG
virus vya ebola na marbug kama vilivyo family ya virus kwa pamoja njia moja wapo ya kutibu au kukabiliana nao msisitizo wa kwanza ni kujikita kwenye kutengeneza dawa kwa ajili ya kutibu symptoms kama ilivyo kwa Arvs za ukimwi ambazo zinatibu symptoms na baadae white blood cells zinaregain nyuvu zake na kuweza kukabilana na hiv virus njia hii inaweza tumika kwenye magonjwa ya ebola na marbug

Kwanini kutibu symptoms
Kwenye virus ukiweza kutibu symptoms ni rahis kwa white blood cells kuregain nguvu zake na either
  1. Kuwaua
  2. Kuwafanya virus ndani ya mwili wa binadamu kujificha kama ilivyo kwenye case ya Arvs
SWALI LA KUULIZA INATIBUJE SYMPTOMS NA KUMBUKA HUU NI MTIZAMO WANGU AMBAO UNARUSIWA KUPINGWA KITAALAMU
A)- Kwa ebola dawa inayakiwa ifanye kazi kwa ku-engulf kwenye RNA polymerase ili kuzuia replication ya ebola virus ndani ya mwili wa binadamu na kuweza kuuliwa kirahis na white blood cells na hii itasaidia kuzuia symptoms na hatimaye kupona kabisa
images (3).jpeg

B)-kwa marbug dawa ita-engulf polymerase (L) kwa lengo la kuzui replication ya marburg virus ndani ya mwili wa binadamu na baada ya hapo itakuwa ni rahis kwa white blood cells kuuwa virus vya marbug ndani ya mwili wa binadamu na hatimaye kupona
Filovirus_virion.jpg

NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUTENGENEZA DAWA ITAKAYOTIBU SYMPTOMS ZA UGONJWA WA EBOLA NA MARBUG
 
Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko

Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo kwako awe na huruma na uchungu wa tatizo la nyumbani kwako serious, kuna mambo huwa yanashangaza sana mda mwingine

Uwezo wa kutengeneza dawa ya ebola na marbug tunao kama tukiamua na tukiacha akili za utegemezi

DAWA YA KUTIBU SYMPTOMS ZA EBOLA NA MARBUG
virus vya ebola na marbug kama vilivyo family ya virus kwa pamoja njia moja wapo ya kutibu au kukabiliana nao msisitizo wa kwanza ni kujikita kwenye kutengeneza dawa kwa ajili ya kutibu symptoms kama ilivyo kwa Arvs za ukimwi ambazo zinatibu symptoms na baadae white blood cells zinaregain nyuvu zake na kuweza kukabilana na hiv virus njia hii inaweza tumika kwenye magonjwa ya ebola na marbug

Kwanini kutibu symptoms
Kwenye virus ukiweza kutibu symptoms ni rahis kwa white blood cells kuregain nguvu zake na either
  1. Kuwaua
  2. Kuwafanya virus ndani ya mwili wa binadamu kujificha kama ilivyo kwenye case ya Arvs
SWALI LA KUULIZA INATIBUJE SYMPTOMS
A)- Kwa ebola dawa inayakiwa ifanye blocking kwenye RNA polymerase ili kuzuia replication ya ebola virus ndani ya mwili wa binadamu na hii itasaidia kuzuia symptoms kwa sababu ita-interfare kazi za ebola virus
View attachment 3470255
B)-kwa marbug transcription factor VP30 kwa lengo la kuzui replication ya marburg virus ndani ya mwili wa binadamu sababu hii ndo inayo-trigger viral RNA polymerase to begin kwa kufanya hivi kazi za viral zitakuwa zimekua interfered
View attachment 3470258
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUTENGENEZA DAWA ITAKAYOTIBU SYMPTOMS ZA UGONJWA WA EBOLA NA MARBUG
"Tunaweza" ww na nani!?
 
Hushangai dawa za South Afica zinaidhinishwa kimataifa, lakini za China na Russia wanazipuuza kuwa ni fwamba.....
Kama kujitibu wenyewe sawa, lakini uwekezaji wa kutengeneza hizo dawa kama huuzi nje, gharama yake utafunga maabara zote......
 
Uoga ndo kikwazo kwa mwafrika ameaminishwa kwamba kila jambo ni gumu na Hawezi
 
Back
Top Bottom