Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

Mwafrika hata kuwa na maono au mipango anaogopa
Na viongozi wetu wana-akili kama zako hawataki kuwa na mipango ndo maana tuko kama hivi tulivyo
we jamaa vip? Mbona umeanza matusi? Si nimesema sitaki kubishana na wewe? Si ukae na akili zako nyingi? Ona we mse.nge achana na mimi umesikia?
 
Ebu nionyeshe tusi kwenye hayo maelezo yangu, wewe ndo unatukana alafu unaniambia mimi niache matusi

Kama hutaki kubishana na mimi usikomment kwenye uzi kumbuka jf ina nyuzi nyingi sana
 
Mbona unahangaika sana kama unaona haiwezekani huo ni mtizamo wako na unahaki hiyo
Mtizamo Gani mkuu, ili ufanye hayo unadhani utafanya mwenyewe tu!?, tengeneza vichaa kama ww kwanza wenye akili sawa ndio utafanikisha Hilo Jambo otherwise hizo ni ndoto za abunuasi.
 
Ni wapi nimesema nafanya mwenyewe yaani kutoa mtizamo wangu ndo kutaka kufanya mwenyewe???

Inshort waafrika mnashida sana kwani ni kosa kuwa na maono ya kutengeneza dawa yaani ni kosa
 
Umesema ukiwa Rais kama vile Rais ndio wanatengeneza dawa pharmacy/ kiwandani...akili zako unazijua mwenyewe.
 
Unaupeo mdogo sana sio kosa lako kwa hizo akili zako ndo zinathibitisha kwanini afrika iko hivi
Ungekuwa na akili usingekuwa unafanya biashara ya uwinga(in fact no creative/critical innovation kwenye uwinga) Kariakoo, huwezi kujibadilisha mwenyewe unategemea kuibadilisha nchi!?
 
Ningeshangaa tangu lini JOINED 2024, mkawa na akili? Mliikuta JF ikiwa tulivu mkaleta utoto wenu wa Facebook na Instagram, mmefikia hatua ya kuleta mizaha Mpaka ktk threads zinazohitaji hoja.

Hivi kama huna cha kureply kwanini usikaushe au kuachana na hii thread badala yake unatafuta mada unazozimudu?
Itendeeni heshima JF iwe na ile hadhi yake ya members great thinkers kweli, sio kuropoka.
 
Kelele nyingi lakn hoja huna, ni mpuuzi peke yake anayejenga hoja kwa kuangalia joined ya mjenga hoja
 
Elezea kitaalamu kama nilivyoolezea mimi acha tantalila
Mimi nimesema kutengenezwe dawa ya ebola itakayo engulf RNA protease wewe elezea kitaalumu kama mimi
dahh! Hivi kweli wanajf mnamuangalia huyu mtu ambaye angfaa kuwa milembe akiendelea kuropoka upuuzi? We jamaa acha kuiaibisha jf! Unajua hii ni moja ya website ninazozikubali? Sidhani kama huu upuuzi wako unamaana yoyote ile kwenye hii website! Wanajf muangalieni huyu, kuna siku atasema anafikiria kama angekuwa superman angefanya makubwa! Mi naonya tu! Na ninachojua hakuna kichaa ambaye anaweza kukubali kwamba yeye ni kichaa! Kwahiyo sitarajii positive repply kutoka kwa huyu dish!
 
Back
Top Bottom