Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

Mwehu huyu, eti akiwa Rais wa Tanzania. Urais wa Tanzania siyo matako, ambayo hata huyu bwege anayo
hata mimi nilivyoonaga post zake nikajua hapa hakuna mtu! Alafu namshauri anavunga kunitukana! Yaani kuna siku mtasikia jamaa kajitia kitanzi kisa kufell kuprove aliyoyawaza! Na hii ni moja ya madhara ya aina ya ugonjwa wa akili alionao! Alafu namshauri anavunga!!
 
Hakuna mtu na bado uko bize na uzi wangu haya ni maajabu
Mimi siogopi kufeli na kamwe siwezi feli ila wewe ombea nifeli usikate tamaa wala kuchoka
 
Mkuu hiyo mipango yako ni mpaka uwe raisi au kuna namna umeshaanza kupenyeza ushauri mahali mbalimbali nje ya jf, ikiwemo kuwafikia wahusika.??
 
Huu sijawapelekea nimeshawapelekea unaofanana na huu ila Wahusika waligoma kwa asilimia 100

Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kidalali na kimchongo
 
Back
Top Bottom