Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

Huyu Tunda ni mpuuzi sana na akili yake inawaza vitu vya kijinga sana. Aliwahi kuzuiwa na mapolisi ccm kirumba 9 december kuingia na boat uwanjani.Badala ajiwekeze kwenye voccal yeye anawaza maujingaujina
 
Kwanini hawakubeba 'Jeneza' la kiislamu, kuigiza kama masheikh, kubeba tasbii, msahafu, kuvaa Barakashee nk. ?
Weeh ungewaka moto. Kwani yeye haogopi.
Hata hivyo hakuna kosa hapo bali ni maigizo tu.
Kwenye sinema misalaba na majeneza na makaburi na majoho yanatumika sana tu.
Hapa wanaolalamika ni yangayangu tu. Ondoa Ukristo na Uaskofu hapa. Ni yangayangu hao wote.
 
Asante sana kwa akili kubwa hii
 
Nyie washabiki wa Yanga ndiyo wapumbavu kwani mumelichochea jambo dogo hili hadi limezaa malumbano ya kidini. Hata hao maaskofu michongo waliolibebea bango suala hili ni wapumbavu vile vile na watakuwa ni washabiki wa Yanga.
Kaza fuvu ila club yako imechutama imeomba radhi
 
Washenzi hao ilitakiwa wapigwe fine. Kwa vile msomali ni kolo dam dam bas hilo litapita kama upepo.
Wakikosea Yanga kamati ya maadili. Akikosea simba kimyaa.
Kuruhusu msanii kudhihaki dini nyingine uwanjani kwenye shughuli ya kimpira ni kosa la wazi ambalo kila mtu ameona . cha ajabu simba wameomba na kukiri kosa ila TFF watapiga kimya na maisha yataendelea.
Akosee upande wa pili sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si kelele .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanakuaga na utetezi wao . utasikia HUYO SIO MUISLAM, MUISLAM HAWEZI KUFANYA ALIYOYAFANYA JAMAA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ . ndo imeisha hiyo .
 
Msi ingize mambo ya dini, dini iwe na wafuasi wengi au wachache kikubwa aliyekosea ameomba radhi ndio uungwana .
manara aliomba radhi kwa kurushiana maneno na Karia ambayo hadi Leo ni kizungumkuti kujua nani alimuanza mwenzie . licha ya kuomba radhi bado alifungiwa. Simba wamekili na kuomba radhi kuwa walikosea pale uwanjani tena mbele ya umati wa watu lakini TFF hii ya mchongo nakuhakikishia simba hawafanywi chochote. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Joho ni la fundi cherehani wa Gezaulole wala sio la kasisi wa kweli, hata hilo jeneza na msalabani ni vya fundi seremala wa Temeke hospital, sasa ukristo umedhihakiwa vipi hapo?
Kwahiyo Kilaini na Gwajima walikuwa wanatafuta kusikika kwasababu ni muda sana au?

Tulia Akson hawakumuona wakati wa kampeni za uvhaguzi wa ubunge pale Mbeya?

Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
 
Hili swala limesaidia hata dini zilizosahaulika....
 
Kama manara tu ambavyo watu wa yanga wanaona hana kosa japo yeye mwenyewe ameshaomba radhi mara mbili na tunasubir sio muda ataenda mbele ya waandishi na ataomba tena japo yanga watanyamaza tu bila kuchangia
kama manara aliomba radhi na akapigwa Rungu . simba wameomba radhi mbona hao TFF wako kimya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Joho ni la fundi cherehani wa Gezaulole wala sio la kasisi wa kweli, hata hilo jeneza na msalabani ni vya fundi seremala wa Temeke hospital, sasa ukristo umedhihakiwa vipi hapo?
Tundaman ni muislam. Alishindwa nini kuvaa kanzu na tasbihi akaingia navyo uwanjani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mnajikosha hapa kuwa dini ya Mungu ni uislam. Na kuwa waislamu mpo wengi Tz, Lakini cha ajabu mkitaka kufikisha ujumbe kwa jamii mnatumia matukio ya kikristoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwanini msifikishe jumbe zenu kwa njia yenu ya kiislamu.?
 
 
Hata kama angekuwa mpagani yeye alichofanya alichagua dini iliyo na wafuasi wengi.

Utoporo mmeteseka sana utadhani nyie ndio ukristo πŸ˜‚
 
Huu uzi una wapumbavu wengi watu mnakazana kutoleana mapovu na wakati milango ya makanisa na misikiti mara ya mwisho kuingia ni mlipokuwa na miaka mitatu kusali hamsali kazi kubishania kiki za wajinga wachache .

Tafuteni cha kufanya acheni kupotezeana nguvu wapumbavu wakubwa.
 
Kwa nini unatukana wakubwa?
 

Tunakuza tu hili jambo, Kuna yoyote alielalamikia tukio hili?

Haya mambo ya ushabiki wa mpira ukiingiza imani za dini hawaendi. Tunaweka sana limits wakati vitu vingine tunafanya kama burudani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…