Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Mimi mtu akishakosa anachokisimamia namuona kenge tu,When I remember the List of shame heroes and what followed. Huo ujasiri wake umeasaidia nini wapiga kura wake? Chama chake je? Ukiipitia katiba ya CDM pekee utajua huyo jamaa yenu ni mtu wa aina gani,just overrated
 
Fuatilia historia ya Lissu shuleni na chuoni. Yule ni kichwa huwezi kumfananisha na Mchemia kaunga unga mwana
 
Aliahidi kupambana nao nje ya bunge Faru ndugai apambane nao ndani ya bunge
Lissu ni kiongozi aliyethubutu kuwafumbua watanzania kwamba nchi iko wap na maona ya nchi yakoje? Maccm wanajalibu kupotosha wananzania lakin lisu anazid kuonesha madhaifu ya ccm,hapo watanzania wanaendelea kumuombea lisu apone ili anusulu taifa .
 
Ukurasa huu ni maalumu utakao elezea mkusanyiko wa habari za kweli za maisha ya mwanasiasa huyu machachari, elimu yake, hotuba zake za bungeni na nje ya bunge, Madhaifu yake na kadhalika kutoka kwa watu mbali mbali wanao mfahamu au kujua na kukusanya yenye ushahidi.
Hii itasaidia kufahamu uwezo wa kila anayetangaza nia ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu kuliko kuingia kwenye uchaguzi bila kufahamu watu kama ilivyotokea 2015.
Nategemea kila mtangaza nia atakuwa na page yake kama hii. Muhimu ni kutokuweka maneno ya uongo na kashfa zisizo za kweli na MODS watasaidia kuondoa personal assassination za kisiasa zisizo na tija.
Tunaanza;
Screenshot_20200608-062028.jpg
 
Tundu Lissu akilihutubia bunge la Katiba kujibu hoja za kuwa amemkashifu baba wa Taifa

 
Tanzania kuna vituko!

Waliosema , "Nature abhors a vacuum" hawakufanya makosa!

Upinzani una " vacuum" kwa sasa!
 
Jee elimu yake ya msingi aliipatia wapi? Sekondari tunaambiwa ni Galanosi Tanga na Ilboru Arusha.
Maisha yake huko shule yalikuwaje?
Kulikuwa na elements za kiongozi kama alizokuwa nazo Mwalimu Nyerere akiwa shule?
 
Lisu ni mwanasheria wa Acacia na mtukanaji mkubwa wa watanzania
 
Najua mwelekeo wako, lakini 2015 kulikuwa na kosa la aina hii la kutowajuwa wenye nia matokeo yake tunayaona.
Hukuwajua wewe na nani?

Jisemee nafsi yako kwa sababu ni aina fulani ya ujinga kuweka mwamvuli wa fikra zako kwa watu wote!
 
Back
Top Bottom