Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Kuna dalili ya uwendawazimu kwako.
Lissu huwa anaonekana ana akili sana anapoongea na watu wasioelewa chochote BTW lissu leo ni mwanasheria sababu aliwahi kumlilia Kabudi zaidi ya masaa 7 amtoe kwenye nyavu,Kabudi ana huruma sana
 
Kwa sasa sheria ni zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM Taifa na vilevile zidumu fikra za Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wa Dsm hakuna jaji wala Mwanasheria yupo juu ya hao wasukuma wawili toka chato na kolomije.
Sahihi kabisaaaa
 
Punguza upungu we mwehu.
Tundulissu msaliti alikuwa ni mjanja kutafuna pesa za wawekezaji, alikuwa ana anzisha zengwe alafu anajifanya kuwatete na domokaya lake walahi
Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu akamzima milele walahi
 
P
Watu wa CCM kila Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa (anastahili kuitwa Mheshimiwa)Tundu Lissu anapotoa hoja zake za kisiasa kwa kutumia taaluma yake ya kisheria, humponda sana kwamba uwezo wake ni mdogo kwenye kuchambua hoja za kisiasa kisheria.

Lakini inawezekana ni kweli kwamba Lissu (kwa mtazamo wa wana CCM) uwezo wake kisiasa na kisheria ni mdogo sana. Lakini ni Lissu ambaye kila wakati anakuwa upande sahihi dhidi ya wanasiasa na wanasheria wanaotumiwa na CCM katika kuendesha mambo mbali mbali ya kisheria na kisiasa serikalini. Mambo mengi yanayokanushwa na "wabobezi" wanaotegemewa na CCM dhidi ya hoja za Lissu, huja kuonekana baadaye kwamba Lissu alikuwa sahihi.

Wakati Lissu anahangaika dhidi ya sheria Mbovu na wawekezaji "uchwara" kwenye sekta ya madini, wabobezi wa Sheria na siasa toka CCM walimwita Lissu kuwa ni mtu anayetisha wawekezaji. Leo hii wawekezaji waliowaita wenyewe, wakaingia nao mikataba, wakawapa migodi, CCM wanawaita wezi!!

Kwa ivo inawezekana kwa mitazamo hasi ya Ki-CCM Lissu si mwanasiasa bora wala si mwanasheria mbobezi, lakini kuna ukweli unaobakia kwamba Lissu ni Mwanasheria na mwanasiasa mwenye ujasiri wa kipekee kwenye kusimamia sheria na kupigania maslahi ya nchi yetu Tanzania.

Kunguru wa Lumumba msidhani kila sehemu ni jalala la kupatia mizoga!!
Put your heading differently!!!
 
Wenye Tenda yaani wanaolipwa Bilion kwa mwaka kwa ajili ya kuwatetea CCM mitandaoni ndiyo shiiida, kwani wameajiri vilaza mbumbu vijuha, vizuzu vitupu ndiyo maana utetezi dhidi ya CCM ni wa hovyo hovyo tu, wamiliki wa Tenda akina Musiba, Jerry Muro na kubwa jinga Le mutuz wao kazi yao ni kula pesa za CCM tu kazi wamewaachia wajinga wajinga wenzao kupambana na watu mitandaoni.
Hakika
 
Kulamba matapishi yake na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame ya Chadema.

Na sasa hivi kuanza kutumia elimu yake aliyosomeshwa kwa kodi za watanzania na kuanza kutetea wezi wa madini ya watanzania

Lisu ni jasiri kwelikweli
Wewe mrembo nijibu hii hoja kipindi hiyo mikataba inasainiwa ilisainiwa chini ya serikali ya chama gani??Waliosaini mikataba walichukuliwa hatua gani??
 
Kuna watu wanamwita kibaraka, mwehu na maneno mengine mengi ya dhihaka, lakini naona ni wanasukumwa zaidi na mihemuko ya mapenzi ya kisiasa, ila baada ya muda mrefu sana miaka kadhaa ikipita ndio tunagundua yupo sahihi na hasara tayari mmeshaipata nadhani badala ya kumpotezea msikilizeni japo hamumpendi.
Wengi wa haò wañàòmpìñgà hawàsukumwi hata na siasa Bali wako kaźini. Weñģi hawana hoja bali kejeli, mipasho na matusi.
 
Back
Top Bottom