Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Watu wa CCM kila Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa (anastahili kuitwa Mheshimiwa)Tundu Lissu anapotoa hoja zake za kisiasa kwa kutumia taaluma yake ya kisheria, humponda sana kwamba uwezo wake ni mdogo kwenye kuchambua hoja za kisiasa kisheria.

Lakini inawezekana ni kweli kwamba Lissu (kwa mtazamo wa wana CCM) uwezo wake kisiasa na kisheria ni mdogo sana. Lakini ni Lissu ambaye kila wakati anakuwa upande sahihi dhidi ya wanasiasa na wanasheria wanaotumiwa na CCM katika kuendesha mambo mbali mbali ya kisheria na kisiasa serikalini. Mambo mengi yanayokanushwa na "wabobezi" wanaotegemewa na CCM dhidi ya hoja za Lissu, huja kuonekana baadaye kwamba Lissu alikuwa sahihi.

Wakati Lissu anahangaika dhidi ya sheria Mbovu na wawekezaji "uchwara" kwenye sekta ya madini, wabobezi wa Sheria na siasa toka CCM walimwita Lissu kuwa ni mtu anayetisha wawekezaji. Leo hii wawekezaji waliowaita wenyewe, wakaingia nao mikataba, wakawapa migodi, CCM wanawaita wezi!!

Kwa ivo inawezekana kwa mitazamo hasi ya Ki-CCM Lissu si mwanasiasa bora wala si mwanasheria mbobezi, lakini kuna ukweli unaobakia kwamba Lissu ni Mwanasheria na mwanasiasa mwenye ujasiri wa kipekee kwenye kusimamia sheria na kupigania maslahi ya nchi yetu Tanzania.

Kunguru wa Lumumba msidhani kila sehemu ni jalala la kupatia mizoga!!
Huyo ni coward tu,"die many times"
 
Lissu alisema maisha yake yako mikononi mwa Kabudi, asingemsaidia alidai angejiua
huyu huyu kabudi tapeli kamtepeli Magu hadi sasa amebaki ameachama alijiapiza hawa wanaume wa Barrick wamekubali wanatulipa hela zetu trillioni 450( wananchi hadi leo tunangoja noah zetu ) katika kipindi cha wiki mbili mpaka sasa kabaki kuteka matajili waendeshe serikali yake ,Kabudi mtoto wa mjini kamchinisha mazee magogoni anapaoona m0to anasepa zake dodome akajifiche kwenye mahandaki huko
 
Huyo ni coward tu,"die many times"
kwa nini wewe ni hai mtu unafukuliwa na kujazwa mataulo kilo kwenye m.arin.da yako kupata mtoto lazima mbwa akamuliwe mbegu ndio atiwe mkeo who is dead kama sio wewe Lissu mwamba wa haki za binadamu na ndio maana Mungu amempa pumzi zaidi ili aendelee kuipiginia nchi yake sio hao vichaa vibaka wa karomije sijui kitu gani nosense
 
Lissu huwa anaonekana ana akili sana anapoongea na watu wasioelewa chochote BTW lissu leo ni mwanasheria sababu aliwahi kumlilia Kabudi zaidi ya masaa 7 amtoe kwenye nyavu,Kabudi ana huruma sana
Hakuna mahali Lisu alikutana na kabudi kimasomo ,hakuna sasa huku kumlilia Kabudi sijui umetoa wapi ,Lumumba kwa viwanda vya uongo mmezidi.
 
Sijawahi kumkubali Lissu, anategemea sana media ndo maana huwa anaweza kuwachezesha vichwa wasiojielewa,

Ukiangalia competitiveness ya Lissu dhidi ya watu kama Marando, Mtikila, Ndyanabo Julius, utaona kwamba lissu bado sana ,hapa tunaangalia kesi ngapi kahusika , zina uzito gani na ni ngapi kashinda,

Uzuri wa lissu ni kwamba anajua kucheza na Media tu, anapiga kelele kwa kutaja vifungu cha sheria, nadiriki kusema hata Kibatala yako smart sana ukimlinganisha na lissu
 
Sijawahi kumkubali Lissu, ndo maana huwa anaweza kuwachezesha vichwa wasiojielewa,

Ukiangalia competitiveness ya Lissu dhidi ya watu kama Marando, Mtikila, Ndyanabo Julius, utaona kwamba lissu bado sana ,hapa tunaangalia kesi ngapi kahusika , zina uzito gani na ni ngapi kashinda,

Uzuri wa lissu ni kwamba anajua kucheza na Media tu, anapiga kelele kwa kutaja vifungu cha sheria, nadiriki kusema Kibatala yako smart sana ukimlinganisha na lissu
 
Kama ujasiri basi awamu ya tano amekutana na jasiri mwenzie!
jasiri whaaaaaat! jasiri asopenda mawazo mbadala ni jasir gani? jasir hata akiongea na wanachuo anawatisha? jasiri anapingana hata na asiowajua? hatafanikiwa huyo ni muoga sio jasir kaka!
 
Umekosea kuandika, kwani msemo wenyewe ni "mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani". Kwenye Mambo ya mvinyo kadri mvinyo unavyokuwa wa zamani ndiyo thamani na ubora wake hupanda.
Hawezi kujua hilo, huu msemo ni wa kiueledi, hao wamezoea misemo kama "ccm ni ile ile"
 
Lissu huwa anaonekana ana akili sana anapoongea na watu wasioelewa chochote BTW lissu leo ni mwanasheria sababu aliwahi kumlilia Kabudi zaidi ya masaa 7 amtoe kwenye nyavu,Kabudi ana huruma sana

..siyo kweli.

..Kabudi alikuwa Ujerumani akisoma toka mwaka 1989 -- 1995.

..Tundu Lissu alikuwa Udsm kuanzia 1991 -- 1994.

..kwa hiyo Lissu na Kabudi hawajawahi kukutana kitivo cha sheria UDSM.

..wasifu wa Tundu Lissu: Parliament of Tanzania

..wasifu wa Prof.Kabudi: Parliament of Tanzania

..Wakuu wa Kitivo cha Sheria tangu kuanzishwa kwake:Deans

cc ISIS, thetallest
 
alikuwa on study leave,lkn kuna vipindi alikuwa anafundisha kila aliporudi,kuna interview moja Lissu aliwahi kukubali
 
Lissu tangu alipopiga u turn Na kuanza Kuwa mpiga debe wa Ngoyai 2015 nimeona chupa Mpya tu yenye mvinyo wa zamani
kama lowassa ni mwizi kwa nini magu anamuogopa kumkamata na kumweka ndani kama akina rugemalira?
 
alikuwa on study leave,lkn kuna vipindi alikuwa anafundisha kila aliporudi,kuna interview moja Lissu aliwahi kukubali

..siyo kweli.

..Lissu amewahi kusema/kuandika pia hajawahi kufundishwa na Prof.Kabudi.

..unajua Prof.Kabudi anavyopenda kujigamba angeshamtaja Lissu kuwa ni mmoja wa wanafunzi wake, kama ambavyo huwataja Dr.Tulia, Ag.Dr.Kilangi, etc etc.
 
sio anajigamba kabudi jembe sana,Lissu kesi anazoshinda sana ni zile za vijana wake wa mitandaoni bas
 
Kwa sasa sheria ni zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM Taifa na vilevile zidumu fikra za Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wa Dsm hakuna jaji wala Mwanasheria yupo juu ya hao wasukuma wawili toka chato na kolomije.
yaweza kuwa ni kweli
 
sio anajigamba kabudi jembe sana,Lissu kesi anazoshinda sana ni zile za vijana wake wa mitandaoni bas

..lakini anapenda sana kujisifu.

..ukimsikiliza Prof.Kabudi unaweza kudhani hakuna mwanasheria nchi hii ambaye hajamfundisha.

..unaweza kudhani ni mkongwe kwelikweli pale UDSM lakini ukweli ni kwamba hata U-dean ameupata 2009 to 2012.

..kuna waliomtangulia kama wakina Dr.Sengondo Mvungi, Prof.Sifuni Mchome, Dr.Justice Ibrahim Juma, etc.
 
ahhh hahha
 
Kama ujasiri basi awamu ya tano amekutana na jasiri mwenzie!
Siyo jasiri mwenzie; bali ni mwenye msimamo wake binafsi anaousimamia na kuutekeleza hata kwa nguvu ya madaraka yake bila kujali kama una mapungufu
 
Back
Top Bottom