Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Mtukufu sio jasiri bali ni muonevu pia ni mpenda Visasi huku mshauri wake mkuu Bashite akitumia fursa hizo kutengeneza blackmail za kutosha kwa matajiri kisha kuwachukulia pesa zao kwa njia haramu.
Yote haya yanatoka kwenye mtambo wa kuzalisha uwongo ufipa,msalimie kubenea na komu waambie wamtembelee meya jacob!
 
Kuna watu wanamwita kibaraka, mwehu na maneno mengine mengi ya dhihaka, lakini naona ni wanasukumwa zaidi na mihemuko ya mapenzi ya kisiasa, ila baada ya muda mrefu sana miaka kadhaa ikipita ndio tunagundua yupo sahihi na hasara tayari mmeshaipata nadhani badala ya kumpotezea msikilizeni japo hamumpendi.

Zipo wapi zile trilion 1.5? Mwambie aache kutumia pesa za umma pesa za walipa kodi kudidimiza Demokrasia kuhujumu Upinzani, kuwabambikia kesi, kununua Madiwani na wabunge kurudia chaguzi kwa gharama kubwa kufanya mambo ya hovyo yasiyo na Tija kwa Taifa.
 
Yote haya yanatoka kwenye mtambo wa kuzalisha uwongo ufipa,msalimie kubenea na komu waambie wamtembelee meya jacob!
Kunguru wa Lumumba ni ajabu sana!! Hoja ya hapa ni kuhusu Lissu wewe unaleta mambo ya Meya Jacob na kina Kubenea!!
 
Vipo wapi viwanda? Maendeleo hakuna pato la Taifa linatumika kudhoofisha chadema badala ya viwanda na maendeleo mengine
 
Kulamba matapishi yake na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame ya Chadema.

Na sasa hivi kuanza kutumia elimu yake aliyosomeshwa kwa kodi za watanzania na kuanza kutetea wezi wa madini ya watanzania

Lisu ni jasiri kwelikweli
 
Kunguru wa Lumumba ni ajabu sana!! Hoja ya hapa ni kuhusu Lissu wewe unaleta mambo ya Meya Jacob na kina Kubenea!!
Nimetaka kuwakumbusha kuwa chadema ni taasisi na yenye vitengo vingi licha ya propaganda ila na cha utekaji na mauaji pia kipo!
 
Kunguru wa Lumumba ni ajabu sana!! Hoja ya hapa ni kuhusu Lissu wewe unaleta mambo ya Meya Jacob na kina Kubenea!!

Wenye Tenda yaani wanaolipwa Bilion kwa mwaka kwa ajili ya kuwatetea CCM mitandaoni ndiyo shiiida, kwani wameajiri vilaza mbumbu vijuha, vizuzu vitupu ndiyo maana utetezi dhidi ya CCM ni wa hovyo hovyo tu, wamiliki wa Tenda akina Musiba, Jerry Muro na kubwa jinga Le mutuz wao kazi yao ni kula pesa za CCM tu kazi wamewaachia wajinga wajinga wenzao kupambana na watu mitandaoni.
 
Mkuu usipende kuandika mambo ya ukweli kiasi hicho.Sisi akina yakhe wapiga zumari titaanza kuweweseka!Hahahahahaaa
 
Lissu tangu alipopiga u turn Na kuanza Kuwa mpiga debe wa Ngoyai 2015 nimeona chupa Mpya tu yenye mvinyo wa zamani
Kwa hilo la ngayai hata mie nilitofautiana naye, ila kwenye maswala mengine hasa ya sheria Lissu is tha best in Tanzania na ame prove hilo. Kama si upumbavu wa serekali za CCM, Lissu hakuwa mtu wa kuachwa nje ktk mswala ya kisheria yanayo lihusu taifa!
 
Back
Top Bottom