Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe atamruhusu?Tundu Lisu
Raisi mtarajiwa wa Tanzania.
Kwani mwalimu Nyerere akikosolewa ni dhambi?Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu
Tundu Lissu alimtukana baba wa Taifa kuwa alizoea kunypnga
Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu
Tundu Lissu alimtukana baba wa Taifa kuwa alizoea kunypnga
Tena tusind haswaaJe hujui kwa vitendo vinavyofanywa na serikali ya awamu ya tano ya CCM ni tusi kubwa kwa Baba wa Taifa
Sana" lakini Kwa nchi hii sijuiHuyu kamanda inshaalah mwenyezi mungu akipenda 2020 ndio ataongoza rasmi Upinzani kwenye uchaguzi mkuu. Profile na CV yake inaonyesha ni mtu jasiri sana.
Umandela ni hapo alipo onyesha kupigania laasili mali na wananchiHapo Umandela uko wapi?
Kama umeenda shule soma vizuri profile ya huyu shujaa alianzaa kupigania maslahi ya nchi hii wakati CCM ikisaini mikataba mibovu. Kuwashauri kwamba tuwe na tahadhari katika kuvunja mikataba itakayo ipa hasara ni kosa.Well said lakin kwa taarifa hazipo rasmi nikile kitendo chakuvusha taarifa za siri ngambo nakuipa sirikali wakati mgumu imekuwa dhambi inachafuwa kazi nzuri zake.
Well siri ni nzito kuliko maandiko umeandika na uwenda yeye mwenyewe anajuwa sio kujuwa tu ila anatambuwa kama angekuwa nchi kama china wangekuwa tayari wamemvika kamba na niukweli yupo tayari kuvaa kitanzi na yupo tayari kwa yote jambo linaleta mkanganyiko mkubwa ktk vichwa vya wenye usalama.
Wewe ushawahi kuisoma historia ya Mandela? Alikuwa msafi 100%? Nakushauri ukaisome.Nonsense kabisa...
Kwa hiyo kwa maelezo yako Lissu alikuwa mtukutu, mjuaji na asiyetii sheria? Na kama ndo hivyo huyo unamfananishaje na Mandela? Na unafikiriaje awe Rais? Kwa hiyo kwa mujibu wako Rais anatakiwa awe mtukutu na mvunjifu wa sheria na taratibu. Kwa sababu kwenye maelezo yako yooote unaelezea Lissu alivyokuwa mvunjifu wa sheria na mtukutu. Sijaona zuri hata moja, mwingi ni uongo na Lissu's "delinquency" alipokuwa mtoto na "criminality" alipokuwa mtu mzima!! Naona defiance, defiance tupu.
NI KWELI DOMO KAYA LISU MSALITI WA NCHI YETU NDIYO SAWA NA MANDELA?Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu
Tundu Lissu alimtukana baba wa Taifa kuwa alizoea kunypnga
ehh hebu acha kabisa kutoa heshima ya neno SHUJAA.Kama umeenda shule soma vizuri profile ya huyu shujaa alianzaa kupigania maslahi ya nchi hii wakati CCM ikisaini mikataba mibovu. Kuwashauri kwamba tuwe na tahadhari katika kuvunja mikataba itakayo ipa hasara ni kosa.
Soma hiyo rekodi ya Tundu Lissu hakuna kiongozi ndani ya CCM Ana CV clean kiasi hicho.ehh hebu acha kabisa kutoa heshima ya neno SHUJAA.
mchumia tumbo lissu jimbo limemshinda ndiyo nchi?
Nyota njema huonekana asubuhi, tundu lisu ni majanga tu katika maisha yake yote
Hata wakati wa Mandela walikuwapo watu kama wewe walimuita majina kibao .walimuita Terrorist. Waziri mkuu wa Uingereza alimuita terrorist na watu ambao walikuwa hawakubaliani naye huyo bibi Thatcher aliwafunga.Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu
Tundu Lissu alimtukana baba wa Taifa kuwa alizoea kunypnga
Unahitaji kufanyiwa checkup ya hali ya juu .Nonsense kabisa...