Aliahidi kupambana nao nje ya bunge Faru ndugai apambane nao ndani ya bunge"Amekutana na jasiri mwenzie"kwa kauli hii,inadhibitisha kuwa jiwe alihatarisha maisha ya lissu sio??
Maccm nao pia wanapangiwa cha kuzungumza ndo maana nape alitishiwa maisha na mazezeta ya lumumba.Aliahidi kupambana nao nje ya bunge Faru ndugai apambane nao ndani ya bunge
Lissu ni kiongozi aliyethubutu kuwafumbua watanzania kwamba nchi iko wap na maona ya nchi yakoje? Maccm wanajalibu kupotosha wananzania lakin lisu anazid kuonesha madhaifu ya ccm,hapo watanzania wanaendelea kumuombea lisu apone ili anusulu taifa .Aliahidi kupambana nao nje ya bunge Faru ndugai apambane nao ndani ya bunge
Sasa ana ujasiri gani wakati anabebwa na NEC + Polisi + Wakurugenzi?Kama ujasiri basi awamu ya tano amekutana na jasiri mwenzie!
Labda kwa ujasiri wa watu kupotea,kupigwa risasi na utekaji.Sasa ana ujasiri gani wakati anabebwa na NEC + Polisi + Wakurugenzi?
Najua mwelekeo wako, lakini 2015 kulikuwa na kosa la aina hii la kutowajuwa wenye nia matokeo yake tunayaona.Tanzania kuna vituko!
Hukuwajua wewe na nani?Najua mwelekeo wako, lakini 2015 kulikuwa na kosa la aina hii la kutowajuwa wenye nia matokeo yake tunayaona.
Magufuli hakuwahi hata kuwa kuongozi wa darasaJee elimu yake ya msingi aliipatia wapi? Sekondari tunaambiwa ni Galanosi Tanga na Ilboru Arusha.
Maisha yake huko shule yalikuwaje?...