Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

bila shaka imeshitakiwa MIGA kama mwanasheria msomi alivyotabiri.

Ushitakiwe kwani mmezuia kipi cha hao wawekezaji, maana kama ni makinikia bado wanasafirisha kama Kawaida. Ww ulishakuwa brainwashed na serikali ya dhalimu, huna lolote ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani.
 
Uhai wake hivi ungelipwa?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Tundu huenda alikua na nia njema ila alikosea muda

Namheshimu Tundu, ana historia kubwa katika nyanja hii

Ila kuna wakati flani hupaswi kua upande wa jirani hata kama unaona Baba anakosea, muunge mkono ila mkifika nyumbani mwambie alipokosea,

Wakati Tundu anapambania madini yetu kipindi kile, sidhani kama JPM alifanya kama aliyofanya Tundu kipindi cha JPM.
 
Unao ushahidi juu ya kuhusika kwa serikali? Mpo kwenye lichama linaendeshwa kihuni tu kujichachawangwe afu mnatuletea mazingaombwe yenu sisi😡! TL alikuwa analipwa na acacia kutetea wizi😡! TL kahusika ktk kukamatwa ndege zetu! TL kakejeli ndege zetu! TL na Zito walihusika kutaka kuwazuia wahisani kuleta misaada! TL katutukania marais wetu wapendwa(JK Nyerere na JPJM (may the precious souls these great African heros rest in eternal peace and power, amen🙏)katutukania nchi yetu, na katutukana watz wote😡! Unasema siyo msaliti🤔😡😜😂🤣😂! Kwako msaliti ni nani vile😜!? Watz hatudanganyiki 😜!
 
Hii ndo point kubwa kuliko zote humu jamii forum. Una akili mkuu. Safi
 
Lissu ni kumar tu! Wala usimpige Icing kilichomponza ni kihere here
 
Nia njema ipi aliyokuwa nayo TL zaidi ya kutetea tumbo lake na mabwana zake😠!
 
Sindio hapo utashangaa yani!
 
JE Spika NDUGAI una la kujibu mbele ya taifa na Mungu.
Hivi aliposhambuliwa akiwa mbunge si alistahili kulipiwa matibabu! Mkamnyima!. Haikutosha mkamfutia Ubunge wake na malipo mkamnyima!
Kwa Kauli ya yule aliyetangulia!! Na sasa mnamkana.
Je Mbona Nasari alifutwa Ubunge na akalipwa haki yake!?
Leo anapewa DC!! Basi haki sawa! Bill kuchelewa.
My. Rais liwekee kipaumbele. Na wewe mwenyewe ulishuhudia kwa macho yako ulipomtembelea pale Hospital Nairobi.. asante.
 
Nahisi sisi Watanzania ni special edition hapa duniani, namna yetu ya kufikiri, kuchanganua na kureact iko tofauti sana na binadamu wengine hapa chini ya Jua!
Kuna mwingine alikuwa ameshikilia eti Lissu katoa siri za nchi, nikamwambia, kama ni kosa si angepelekwa mahakamani akasomewe mashtaka aweze kujitetea! Huwa wanabaki wanatoa macho tu....
 
Nahisi sisi Watanzania ni special edition hapa duniani, namna yetu ya kufikiri, kuchanganua na kureact iko tofauti sana na binadamu wengine hapa chini ya Jua!
Jisemee ww mwenyewe. Watanzania wana uwezo mkubwa sana. Ila wanatumia uwezo wao kudhoofisha unity na maendeleo badala ya kuendeleza
 
Unamlipa msaliti ili iweje🤔! Ku'promote' usaliti!? Alipaswa kulipwa na mabwana zake aliokuwa akiwatetea😜! Chezea haki weye, kamuulize bwana yake TL acacia kama ana hamu na Tz!
 
Unamlipa msaliti ili iweje🤔! Ku'promote' usaliti!? Alipaswa kulipwa na mabwana zake aliokuwa akiwatetea😜! Chezea haki weye, kamuulize bwana yake TL acacia kama ana hamu na Tz!
Kama vile Mzalendo Mkuu alivyolipwa! Saivi katulia tu na malaika anakula mafao yake huku akiwatawala!
 
Kama vile Mzalendo Mkuu alivyolipwa! Saivi katulia tu na malaika anakula mafao yake huku akiwatawala!
Itakuwaje ukimkuta ana'command' malaika na ww unasugua motoni!? Dogo acha ufala, Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏)! Alisimamia haki kwa unyenyekevu, amekuwa na mwisho mwema🙏!
 

..wakati Lissu anayapigania madini Jpm si alikuwa bungeni akipiga kura na wana-ccm wenzake kuunga mkono sheria na mikataba inayoliumiza taifa?

..alikuwa anasubiri Uraisi ndipo atetee rasilimali zetu? Asingepata Uraisi angekufa akiwa msaliti aliyeunga mkono mikataba mibovu ya madini, gesi, na mafuta?

..Ni bahati mbaya sana kulikuwa na mtizamo kwamba ili watu fulani waibuke mashujaa lazima Lissu achafuliwe, apewe majina mabaya, na apotezwe ktk uso wa dunia.
 
Mkuu una ushahid kwamba tanzania inahusika na shambulio oa lisu
 
Itakuwaje ukimkuta ana'command' malaika na ww unasugua motoni!? Dogo acha ufala, Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏)! Alisimamia haki kwa unyenyekevu, amekuwa na mwisho mwema🙏!
Aiseee! Mwisho mwema sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…