CCM walivyobanwa wanatamani jeshi la polisi na JKT ndio wawe wasisimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura.Lakini ndio hivyo haiwezekani .pole pole na lichama lake limezuia walimu wa sekondari kusimamia uchaguzi huu wakidai kwamba walimu wa sekondari walio wengi wanaipinga serikali , .wanatamani waagize wachukue raia lakini nako wanaona hawafai, wanatamani wawachukue wanaccm wawe wasimamizi
lakini tatizo wanaccm wengi hawajui kusoma wala kuandika wamebaki na imani na walimu wa shule za msingi tu