Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kampeni, ajikite kuelimisha kuzuia wizi wa kura na kuyapata matokeo ya vituo vyote nchini

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kampeni, ajikite kuelimisha kuzuia wizi wa kura na kuyapata matokeo ya vituo vyote nchini

iko poa Lissu alisema tujumlishe wenyewe kama tumeshinda tuanze kusherehekea usiku huohuo kabla mkurugenzi hajabadili matokeo
 
CCM walivyobanwa wanatamani jeshi la polisi na JKT ndio wawe wasisimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura.Lakini ndio hivyo haiwezekani .pole pole na lichama lake limezuia walimu wa sekondari kusimamia uchaguzi huu wakidai kwamba walimu wa sekondari walio wengi wanaipinga serikali , .wanatamani waagize wachukue raia lakini nako wanaona hawafai, wanatamani wawachukue wanaccm wawe wasimamizi
lakini tatizo wanaccm wengi hawajui kusoma wala kuandika wamebaki na imani na walimu wa shule za msingi tu
 
Back
Top Bottom