Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

Mbona MAREHEMU Hitler mnamsema?
 
Kwa vyote vyote vile Wewe ndo ulihusika kumpiga Tundu Lisu Risasi! Kama ni mnufaika wa Teuzi za Jiwe kwa Sifa za kuua na kuumiza Watanzania wenzako, Wewe na wanufaika wenzako kwa nini msiendelee kumpenda na kumuenzi Jiwe? Kwa kipimo hicho hicho mwache naye Tundu aendelee kumsifu Jiwe kwa machungu ya Risasi ambazo Wewe na wenzako, kwa kutumwa na Jiwe au kwa kutafuta Sifa za kuteuliwa mulimpiga Tundu Lisu Risasi za kutosha.
 
Akili yako imejaa mafii!
Mwache L'issu afanye yake na wewe andaa mikutano ukamsifie huyo Luciferi wako; Umbwa kabisa!
 
Na huo ndio ukweli anatakiwa acheze na akili za hao watu. !! After all kumsema sema vibaya yule jamaa wala haiwezi kumuongezea wafuasi !! Watu wanajua yote yaliyotokea hata asipoyaeleza mara kwa mara ! Washauri wake wamsaidie ushauri wa ajikite kwenye kuelezea vitu gani vitakavyo wasaidia watu wa nchi hii ambao wengi wao wamo kwenye hali ngumu sana ya maisha kutokana na kupanda kwa bidhaa muhimu kama chakula nk ! Wapo wengi tu watakaoendelea kumsema marehemu ila yeye Lisu ajikite kwenye atawasaidiaje hao waliokuwa wakiitwa wanyonge ambao kwa kweli wapo wapo tu they don’t know what is coming next !!
 
Wacha amseme. Kwani anampunguzia nini mtu aliyeishi maisha ya utumishi uliotukuka wa taifa hiki hadi ngazi ya juu kabisa? Kama kuna chochote anachokifanya Lissu katika kumsema Magufuli ni kutuonyesha waziwazi jinsi ambavyo upinzani wa aina hii haufai hata kidogo hata kunusa ngazi zozote za maamuzi makubwa katika nchi hii.
 

Kwani Tundu Lisu kawazuia watu wanaomkubali wasimkubali? Yeye anaongelea ukatili wa Magu, si juu yake kuwahofia waliokuwa wanamkubali Magu. Kwani dhalimu alipoagiza Lisu ashambuliwe alikuwa hajui kuwa kuna wanaomkubali Lisu?
 
Ila urais wa kuteka wasiokusujudia ndio unaonyesha urais unaotufaa. Ngazi za nchi gani boss hiyo unaongelea, hii shithole ama?
 
Kama kuna ukwel acha usemwe tu, wewe ukizungumzia mazur inatosha!!
 
Hana unafiki, anamsema coz anamchukia,
Atampendaje mtu aliyedhamiria kumtoa uhai?
 
Kabisaaaa.
 
Ila urais wa kuteka wasiokusujudia ndio unaonyesha urais unaotufaa. Ngazi za nchi gani boss hiyo unaongelea, hii shithole ama?
Hayo ya kuteka wasiokusujudia unayajua wewe. Sisi tunachojua ni kwamba Magufuli atabaki kwenye kumbukumbu kama miongoni mwa marais bora kabisa taifa hili liliwahi au litakuja kupata. Lissu amseme au asimseme haiwezi kupunguza au kuongeza chochote kwenye kumbukumbu hiyo.
 
Tuanzie uko CCM tuache kumsema vibaya.WanaCCM Tena viongozi wanamsema vibaya , huyu chadema afanyeje kwa yaliyomtokea?.kwani nyie CCM mnasema vibaya aliwafanya Nini?
 

Atakumbukwa kama rais na wala sio kwa ubora unaotaka tuamini kuwa alikuwa nao. Alikuwa rais bora kwako ww na mkeo/mumeo. Na anachokisema Lisu kuhusu yeye huo ndio ukweli. Hutaki jinyonge.
 
Tuanzie uko CCM tuache kumsema vibaya.WanaCCM Tena viongozi wanamsema vibaya , huyu chadema afanyeje kwa yaliyomtokea?.kwani nyie CCM mnasema vibaya aliwafanya Nini?
Huko ulikokutaja kivuli chake kitaendelea kuwatesa kweri kweri !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…