Tunaongea kulingana na mada iliyo mezani. Mada iliyo mezani inamhusu huyo jamaa. Mioyo ya migumu ya kikatili mnaijua nyinyi ila kwetu sisi wengine tunamwona kiongozi mwenye maona aliyemaanisha business. Hakwenda Ikulu kupiga picha, na kazi zake zitaishi muda mrefu sana.
..tukubali kuwa tumegawanyika.
..nyinyi mnaweza ku-focus kwenye miundombinu aliyojenga.
..wengine tunaona miundombinu bila kuheshimu utu wetu na haki zetu ni sawa na kuishi ktk zama za ukoloni.
..Magufuli ametuachia kumbukumbu ya mkoloni mweusi.