Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.

Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.

Anakubalika sana kuliko hata walio hai.

Nawasilisha.
Hakuna ansyemkubali lile dubwana
 
Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.

Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.

Anakubalika sana kuliko hata walio hai.

Nawasilisha.
Mwambie mumeo huo ujinga wako
 
Atakumbukwa kama rais na wala sio kwa ubora unaotaka tuamini kuwa alikuwa nao. Alikuwa rais bora kwako ww na mkeo/mumeo. Na anachokisema Lisu kuhusu yeye huo ndio ukweli. Hutaki jinyonge.
Nijinyonge wakati hapa nilipo nafaidi baadhi ya matokeo ya ubora wake? Vitu alivyovifanya havitafutika kirahisi so wa kujinyonga ni nyie ambao hamchoki kupigana nae. Haya Lissu na maneno yake kitu gani hasa alishawahi kufanya chenye faida kikaonekana?
 
Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.

Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.

Anakubalika sana kuliko hata walio hai.

Nawasilisha.
Hata shetani Mkuu anakubalika na wewe mpumbavu sembuse shetani Magufuli aliyekupa ulaji utaachaje kumkubali!

Hoja yako imetupwa kulee!
 
Nijinyonge wakati hapa nilipo nafaidi baadhi ya matokeo ya ubora wake? Vitu alivyovifanya havitafutika kirahisi so wa kujinyonga ni nyie ambao hamchoki kupigana nae. Haya Lissu na maneno yake kitu gani hasa alishawahi kufanya chenye faida kikaonekana?

Kwani Magufuli alifanya kipi tunachofaidi kwa mshahara wake? Kama ni vitu mbona hata wakoloni walifanya na wala hatuwasifii? Kwa taarifa yako hata Lisu angekuwa rais hayo angafanya.
 
Na huyo Lissu wako mfute kabisa kwenye urais maana hatakuja kuwa Rais kwa upuuzi wake. Ni hivi, kuna sababu za msingi hata Magufuli alikuja kuwa Rais na kuna sababu za msingi kabisa zinazofanya watu aina ya Lissu tuwakatae. Na vile hata hamjuagi kusoma alama za nyakati.
 
Sawa, lakini ikumbukwe kuwa, TAL ni mwanasiasa kwa hiyo anahitaji watu.

Watu hao anaowahitaji TAL kama mtaji wa kisiasa ndio wanaomkubali sana JPM anayesemwa vibaya hadharani. Kwa hiyo, kumsema vibaya JPM ni kupunguza wafuasi wengi sana wa Siasa, lakini pia kumsema vibaya JPM haisaidii chochote kile.
Ni Tanzania tu palipo na siasa za kisasi, na siasa za kisasi hazimfikishi mtu popote. Lissu needs to move on if he is to have credibility. You cannot dwell on an agenda that does not help the country. This shows retributive politics.
 
Sawa, lakini ikumbukwe kuwa, TAL ni mwanasiasa kwa hiyo anahitaji watu.

Watu hao anaowahitaji TAL kama mtaji wa kisiasa ndio wanaomkubali sana JPM anayesemwa vibaya hadharani. Kwa hiyo, kumsema vibaya JPM ni kupunguza wafuasi wengi sana wa Siasa, lakini pia kumsema vibaya JPM haisaidii chochote kile.
Yoyote aliekuwa anamshabikia magu hatuwataki wabaki na magu wao. kwanza wengi wao ni wajinga tu hawana mpango wowote mijitu isiyojua lolote kwenye politics
 
Hili jamaa jinger sana.

Anatakiwa apate therapy.
 
Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.

Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.

Anakubalika sana kuliko hata walio hai.

Nawasilisha.

Kwanini muuaji asisemwe. Yani Lissu aogope kusema kisa Magufuli ana wafuasi. Si wakazikwe naye Kama wanapenda.
 
Na huyo Lissu wako mfute kabisa kwenye urais maana hatakuja kuwa Rais kwa upuuzi wake. Ni hivi, kuna sababu za msingi hata Magufuli alikuja kuwa Rais na kuna sababu za msingi kabisa zinazofanya watu aina ya Lissu tuwakatae. Na vile hata hamjuagi kusoma alama za nyakati.

Hata asipokuwa kwani kila mtanzania atakuwa rais wa nchi hii hadi useme hatakuwa. Kwani ww umeshawahi kuwe rais hadi uone ajabu Lisu kutokuwa rais? Magufuli alikuwa rais, lakini wengi walikuja kugundua kuwa mtu kama yeye hakustahili kuwa rais kutokana na alipokuwa anapeleka nchi hii. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
a
Sawa, lakini ikumbukwe kuwa, TAL ni mwanasiasa kwa hiyo anahitaji watu.

Watu hao anaowahitaji TAL kama mtaji wa kisiasa ndio wanaomkubali sana JPM anayesemwa vibaya hadharani. Kwa hiyo, kumsema vibaya JPM ni kupunguza wafuasi wengi sana wa Siasa, lakini pia kumsema vibaya JPM haisaidii chochote kile.

Huyo Magufuli angekuwa na watu asingefanya ujinga wa 2019 na 2020. Tuache unafiki.
 
Ni kweli, ni ngumu sana kusamehe mtu aliyekufanyia mabaya, lakini kwa mustakabali wa siasa, ni vema kuwa na ngozi ngumu ya kusamehe ili mambo mengine yaendelee.

Hakuna siasa mbele ya mauaji. Angemuua ingekuwaje?. Mimi ningekuwa Lissu labda ningeanzisha kikosi Cha ugaidi kulipiza kisasi. Magufuli alifanya ujinga lazima usemwe.
 
Ingekuwa wale wanaohusishwa na pyu pyu pyu pyu wanatoka Serikalini ningewafukuza kazi, na kuwapeleka mahakamani, na kunyongwa.

Bahati mbaya hawakutoka huko, kwani wanaotoka huko 'huwa hawakosagi'....yaani umkute mtu katili na AK amkose hivi hivi tu? Eboo!

Akimaliza kuonyesha majerahaha atarudi Ulaya kukaza vyuma na skruu....abakie huko asijetumalizia ma Vii eiti

Hayajakukuta ndio maana unalopoka. Magufuli alitengeneza watu wenye roho mbaya Kama wewe.
 
Hili jamaa jinger sana.

Anatakiwa apate therapy.

Mjinga mwenyewe, mna roho za kishetani. Kisa Lissu CHADEMA ana haki ya kupiga risasi na ibilisi Magufuli na asilalamike?. Acha asemwe huyo shetani
 
Ila nchi imejaliwa kuwa na wajinga wengi mbaya zaidi wasomi ila wakiingia CCM akili zao zinaharibika automatic. Ikiwa CCM wamemsema mara kadhaa kuwa Mungu alimua ugomvi wewe kinyangaragata ni Nani umsifie magufuli,acheni Mara moja kumsifia muuaji asiejua ushindani na kupora chaguzi zote bila aibu.
 
Hata asipokuwa kwani kila mtanzania atakuwa rais wa nchi hii hadi useme hatakuwa. Kwani ww umeshawahi kuwe rais hadi uone ajabu Lisu kutokuwa rais? Magufuli alikuwa rais, lakini wengi walikuja kugundua kuwa mtu kama yeye hakustahili kuwa rais kutokana na alipokuwa anapeleka nchi hii. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Well kifo cha Magufuli ilikuwa hasara kwa taifa, wakati huo huo ni bora mara 100 tulimpata Rais Magufuli walau kwa miaka ile michache tuliyobahatika kuwa nae kuliko tusingekuwa nae kabisa. Miaka yake mitano ilitosha kabisa kufichua what a giant facade vyama vya upinzani are. Leo mama Samia anawapa airtime wapinzani si kwa ajili ya kuwaridhisha watanzania (maana umma wa watanzania ulishajitoa huko kwenye kuwategemea/kutumainia upinzani). Samia anawaridhisha tu wazungu na hata sioni faida yake anyway.

Sasa Magufuli hatupo nae but usije ukafanya kosa kuamini kwamba impact ya Magufuli inaishia kwenye sera zake na matendo yake akiwa hai. Legacy ya Magufuli inakwenda mbali sana hata asipokuwepo. Miongoni mwa legacy za Magufuli ni kwamba leo hii kuna watanzania wachache sana wanaomchukulia serious Lissu na mbwembwe zake.
 
Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.

Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.

Anakubalika sana kuliko hata walio hai.

Nawasilisha.
Alikuwa na mapungufu machache!!??
 
Well kifo cha Magufuli ilikuwa hasara kwa taifa, wakati huo huo ni bora mara 100 tulimpata Rais Magufuli walau kwa miaka ile michache tuliyobahatika kuwa nae kuliko tusingekuwa nae kabisa. Miaka yake mitano ilitosha kabisa kufichua what a giant facade vyama vya upinzani are. Leo mama Samia anawapa airtime wapinzani si kwa ajili ya kuwaridhisha watanzania (maana umma wa watanzania ulishajitoa huko kwenye kuwategemea/kutumainia upinzani). Samia anawaridhisha tu wazungu na hata sioni faida yake anyway.

Sasa Magufuli hatupo nae but usije ukafanya kosa kuamini kwamba impact ya Magufuli inaishia kwenye sera zake na matendo yake akiwa hai. Legacy ya Magufuli inakwenda mbali sana hata asipokuwepo. Miongoni mwa legacy za Magufuli ni kwamba leo hii kuna watanzania wachache sana wanaomchukulia serious Lissu na mbwembwe zake.

Kifo cha Magufuli kilileta hasara gani, labda kwa lile kundi lenu la watu wasiojulikana, maana huenda miradi yenu ilikuwa haijakamilika. Alichokuwa anakifanya Magufuli dhidi ya wapinzani ni kiburi cha ulevi wa madaraka sio zaidi ya hapo. Mama Samia hatoi nafasi kwa upinzani kama hisani, bali huo ndio uhalisia na ndio katiba isemavyo. Mzungu gani anamridhisha huyo mama Samia? Kuna wazungu gani wanahangaika na siasa za nchi masikini boss?

Umma upi wa watanzania, ule umma uliokuwa unawekewa maneno mdomoni kuwa unamkubali Magufuli, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore uchaguzi ili mtazamo halisi wa watanzania usifahamike?! Ukweli wa uchaguzi ule hata mama Samia anaujua, na vile hana ulimbukeni wa madaraka inabidi afuate uhalisia, na sio ule ushamba wa yule limbukeni. Unajisifu unakubalika, kisha inafika siku ya uchaguzi unapora uchaguzi.

Magufuli atakuwa ana impact gani baada ya kufa, wakati hata alipokuwa hai alikuwa anatumia vitisho na vikundi vya kumpamba ili ionekane anakubalika? Angeheshimu uchaguzi maana ule ndio ulikuwa kipimo halisi cha kukubalika kwake na chama chake. Sasa anapora uchaguzi halafu we sukuma gang unasema anakubalika, sijui legacy na upuuzi gani. Uza ubongo huo mzee maana unakaa nao kwa hasara.
 
Back
Top Bottom