Kwa sasa hawana ajenda wala hawana hoja. Wacha waicheze tu ngoma ya Magu.Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata walio hai.
Nawasilisha.
Wewe unataka amseme vp, wakati yeye magufuli ndiye Alissa abishaNi muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata walio hai.
Nawasilisha.
Wewe unataka ampambe wakati ndiye aliyesababisha ulemavu wake au unazungumza tu kwa sababu hayajakufika,uchafu wa magufuli sasa tunauona na kuusikia jinsi alivyokuwa akinyanyasa na kutesa akiwatumia wajomba zake kina bwisalo na yule mjomba wake wizara ya fedha huku akijiita mkombozi wa wanyonge uongo mtupu.Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata walio hai.
Nawasilisha.
Tafakari vizuri aina ya watu wanaomsema vibaya mtume Mohamed S.A.W na au Yesu Kristo.Mtume Muhammad ana wafuasi mabilioni duniani, na kuna binadamu wengi wanamsemea mabaya. Japo hawajawahi kumsikia...
Yesu Kristo ana wafuasi mabilioni duniani na kuna binadamu wengi wanamsema vibaya japo hawajawahi kumjua...
Sembuse Magufuli?
Tusipangiane maisha.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Basi hili nalo ukalitazame
Ilikuwa hasara sana kumpoteza kiongozi mwenye maono makubwa na charisma ya kutosha kufanya mambo yatokee kwa spidi na kwa uhakika.Kifo cha Magufuli kilileta hasara gani, labda kwa lile kundi lenu la watu wasiojulikana, maana huenda miradi yenu ilikuwa haijakamilika. Alichokuwa anakifanya Magufuli dhidi ya wapinzani ni kiburi cha ulevi wa madaraka sio zaidi ya hapo. Mama Samia hatoi nafasi kwa upinzani kama hisani, bali huo ndio uhalisia na ndio katiba isemavyo. Mzungu gani anamridhisha huyo mama Samia? Kuna wazungu gani wanahangaika na siasa za nchi masikini boss?
Umma upi wa watanzania, ule umma uliokuwa unawekewa maneno mdomoni kuwa unamkubali Magufuli, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore uchaguzi ili mtazamo halisi wa watanzania usifahamike?! Ukweli wa uchaguzi ule hata mama Samia anaujua, na vile hana ulimbukeni wa madaraka inabidi afuate uhalisia, na sio ule ushamba wa yule limbukeni. Unajisifu unakubalika, kisha inafika siku ya uchaguzi unapora uchaguzi.
Magufuli atakuwa ana impact gani baada ya kufa, wakati hata alipokuwa hai alikuwa anatumia vitisho na vikundi vya kumpamba ili ionekane anakubalika? Angeheshimu uchaguzi maana ule ndio ulikuwa kipimo halisi cha kukubalika kwake na chama chake. Sasa anapora uchaguzi halafu we sukuma gang unasema anakubalika, sijui legacy na upuuzi gani. Uza ubongo huo mzee maana unakaa nao kwa hasara.
Jibu ni ndioTafakari vizuri aina ya watu wanaomsema vibaya mtume Mohamed S.A.W na au Yesu Kristo.
Je, Tundu Lissu yupo kwenye aina ya watu hao?
Je, ikitokea mtu akawasema vibaya mtume Mohammed na Yesu Kristo, itamsababishia mtu huyo kupata popularity yoyote kisiasa au kisanaa?
Ilikuwa hasara sana kumpoteza kiongozi mwenye maono makubwa na charisma ya kutosha kufanya mambo yatokee kwa spidi na kwa uhakika.
Siasa za Magufuli tulizielewa na kwa bahati mbaya sana kweni Magufuli hakuwa mnafiki kula na kipofu eti asimshike mkono. Kipofu hapo ni nyinyi wapinzani na hakupepesa macho kuwafunua agenda yenu kuwa hamna interest na nchi. Ni ubinafsi tu na mnatumia siasa, demokrasia, sijui katiba kama loopholes za kuendekeza ubinafsi wenu tu.
Na kauli yako kuwa "mzungu gani anahangaika na nchi maskini" inazidi kukuonyesha jinsi ulivyo clueless kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Ukiachilia mbali kwamba Tanzania siyo nchi maskini kiraslimali na kiwatu, huwezi kuwa mtu serious kuamini kwamba mzungu hawezi kuwa na interest na nchi maskini. Na sitaingia kwa undani kuhusu hilo maana ni agenda off topic anyway.
Impact mojawapo endelevu ya Magufuli inawahusu nyinyi ambao hamjaweza kumsahau hata leo hii. Na hamtaweza kumsahau maana aliwafunua jinsi mlivyo na madhara yake kwenu hayawezi kuisha leo wala kesho.
Walishazoea Kila mwaka kusingizia wanaibiwa kura, wakati wenyewe wanawakorogaHalafi
2025 wakiangukia pua kwenye uchaguzi waseme wameibiwa.
Ni kweli,Hakuna ansyemkubali lile dubwana
Kutoa amri tu kwamba asisemwe kwa ubaya, haitakusaidia maana LAZIMA ATASEMWA tu na huwezi kufanya lolote!!Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata walio hai.
Nawasilisha.
Hauwezi kumsahau muuaji kirahisi, Hitler na Mussolini hawajasahaulika kwa sababu zinazofanana. Idd Amin Dada anakumbukwa na kutajwa mpaka leo hivyo ujue na Jiwe ataendelea kutajwa sana, mshenzi muuaji yule bora alikufa watu wakapumua.Ilikuwa hasara sana kumpoteza kiongozi mwenye maono makubwa na charisma ya kutosha kufanya mambo yatokee kwa spidi na kwa uhakika.
Siasa za Magufuli tulizielewa na kwa bahati mbaya sana kweni Magufuli hakuwa mnafiki kula na kipofu eti asimshike mkono. Kipofu hapo ni nyinyi wapinzani na hakupepesa macho kuwafunua agenda yenu kuwa hamna interest na nchi. Ni ubinafsi tu na mnatumia siasa, demokrasia, sijui katiba kama loopholes za kuendekeza ubinafsi wenu tu.
Na kauli yako kuwa "mzungu gani anahangaika na nchi maskini" inazidi kukuonyesha jinsi ulivyo clueless kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Ukiachilia mbali kwamba Tanzania siyo nchi maskini kiraslimali na kiwatu, huwezi kuwa mtu serious kuamini kwamba mzungu hawezi kuwa na interest na nchi maskini. Na sitaingia kwa undani kuhusu hilo maana ni agenda off topic anyway.
Impact mojawapo endelevu ya Magufuli inawahusu nyinyi ambao hamjaweza kumsahau hata leo hii. Na hamtaweza kumsahau maana aliwafunua jinsi mlivyo na madhara yake kwenu hayawezi kuisha leo wala kesho.
Ushawahi kupigwa hata na jiwe tu? Mwenzio alipigwa risasi zaidi ya 10. Enewei marehemu hasemwi kwa mabayaNi muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata walio hai.
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja, tena kwa kuzingatia mahali JPM alipo sasa, anaweza kumuomba Baba yake na mtu yoyote akaitwa fasta!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniNi muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata walio hai.
Nawasilisha.
Ukiwa mkubwa utaelewa maana utakuwa na akili.Tafakari vizuri aina ya watu wanaomsema vibaya mtume Mohamed S.A.W na au Yesu Kristo.
Je, Tundu Lissu yupo kwenye aina ya watu hao?
Je, ikitokea mtu akawasema vibaya mtume Mohammed na Yesu Kristo, itamsababishia mtu huyo kupata popularity yoyote kisiasa au kisanaa?
Huyu na yeye ni mpuuzi tu! Mwendazake alikuwa mpuuzi sana!Lazima asemwe
Miongoni mwa legacy za Magufuli ni kwamba leo hii kuna watanzania wachache sana wanaomchukulia serious Lissu na mbwembwe zake.
Tunaongea kulingana na mada iliyo mezani. Mada iliyo mezani inamhusu huyo jamaa. Mioyo ya migumu ya kikatili mnaijua nyinyi ila kwetu sisi wengine tunamwona kiongozi mwenye maona aliyemaanisha business. Hakwenda Ikulu kupiga picha, na kazi zake zitaishi muda mrefu sana...wakati mwingine muwe mnapima mnachokisema.
..ulichoandika ni sawa na kusema Magufuli amewarithisha Watanzania mioyo migumu ya kikatili.