Waliozoea dhiki na utumwa utawajua tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu ajiandae tu kwenda kwa beberu wake amsterdam baada ya oktoba
Oyooo!Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Itakuwa ni ajabu kwa kweliSasa taachaje kumchagua mtu kama huyu na kumchagua mtu aliyekataa kuniongezea mshahara kwa miaka 5 kwa sababu zisizoeleweka.
Labda niwe na cheti cha Mirembe ndipo nimchague Mwana CCM
Ulaya gani huko watu wanalipwa kwa wiki? Huyu jamaa kukaa ulaya kwa miaka mitatu tu kama mgonjwa ndio anajiona anaijua Ulaya vizuri, ha ha ha.....Jengine alilotugusia ni kufuata mfumo wa nchi za Ulaya ambazo hulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wiki badala ya kulipwa kwa mwezi.
Nimwache Lissu nimpe kura yule mola aliyejaa matusi!!!!Itakuwa ni ajabu kwa kweli
Huyu John aliyejaa kiburi na dharau arudi kwao ChatoNimwache Lissu nimpe kura yule mola aliyejaa matusi!!!!
Ahahahahaha
Asisahau na swala la wahitimu kusotea nyumbani huyu jamaa wa chato alianza kwa mbwembwe sana kuwaondoa wa vyeti feki lakini mpaka sasa vijana Hawaoni tumaini
Dhiki mnayo nyie hapo chademaWaliozoea dhiki na utumwa utawajua tu