Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter

 
Kama unaona haikihusu,kaa kushuto.

Nijuavyo mimi ni kuwa, hata kuchukua form ya kugombea uraisi ndani ya chama ni gharama(unalipia) ingawa sijui ni kiasi gani mbali na kusaka wadhamini kwahiyo ni wazi kuna gharama za awali ambazo hazikwepeki.
 
Asiwe na haraka angoje ateuliwe kwanza
 

Huyu nitamchangua 150,000 kufikia mwisho wa wiki. Niko radhi familia yangu ikae kwa shida. Ni nitaongeza kadiri muda unavyokwenda. Atudhibitishe tu pesa zetu kutumika kwa shughuli husika.
 
Tutakuchangia Kamanda Lissu,tunatambua mchango wako katika kutetea haki kwa wote.Njoo uirudishe Tanzania yetu kwenye Misingi yake stahili.

Nina imani ukipata Uongozi utaanza na Katiba ambayo ndiyo itakuwa ni muongozo wetu kuelekea nchi ya ahadi.

We Trust You, No Fear No Hate Forever & Together we Can.In God We Trust.
Kama unaona haikihusu,kaa kushuto.
 
Ajue kuwa form hawachukuliani pale NEC...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…