Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Anatakiwa kuwa "MBEBA WATANZANIA". Hayo maono akiyabeba halafu wa-Tanzania atawaweka wapi? Halafu ukute sasa maono yenyewe siyo sahihi!
 
Kama unaona haikihusu,kaa kushuto.

Nijuavyo mimi ni kuwa, hata kuchukua form ya kugombea uraisi ndani ya chama ni gharama(unalipia) ingawa sijui ni kiasi gani mbali na kusaka wadhamini kwahiyo ni wazi kuna gharama za awali ambazo hazikwepeki.
Umeeleweka asante
 
Japo mimi mtumishi wa serikali miaka mitano sasa sijapewa nyongeza yoyote ya mshahara na sijapandiwshwa daraja lakini sitakosa laki mbili za kumtolea Mbeba Maono. Tumaini jipya kwa watanzania Mh Tundu Lissu.
 
Japo mimi mtumishi wa serikali miaka mitano sasa sijapewa nyongeza yoyote ya mshahara na sijapandiwshwa daraja lakini sitakosa laki mbili za kumtolea Mbeba Maono. Tumaini jipya kwa watanzania Mh Tundu Lissu.
Lazima nimchangie
Kumchangia lazima tumchangie sana tu
 
Nadhani kwenye swala la ichango atakuwa amewahi kidogo kwanza. Hapo ametia nia tu na bado hajateuliwa kuwa mgombea wa Chadema, mimi nadhani angetembeza bakuli baada ya kupata baraka za chama. Kwa syle hii atakuwa anachezea wengine rafu kwa vile yeye anaweza kupata hata zile za huruma. Subiri kwanza hiyo michango ya pesa ije baadae
 
Yaani watu wanaendelea kutapeliwa
 
wewe mpuuzi. anatafuta pesa kwa ajili ya kujinadi kwa wanachama. siasa za level nyingine hizi wewe kaa na hayo maccm ufundishwe wizi wa kura.
Kumbe mpaka pesa zakujinadi duh hi noma tutazila tupo aje kwangu anipe laki tu nampgia kura yng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…