Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Narudia hizo Ni ngonjera tu tafuteni sababu nyengine una uliza ushindani kwa CCM? CCM ipo madarakani toka kilivyo anzishwa

Narudia tena hizi ni facts, kama unataka ngonjera utazipata kwingine. Sina shaka na ninalolisema. Hata ukimuuliza mwananchi yoyote mwenye ufahamu wa kawaida, na asiyeongozwa na hofu, atasema ninachokisema hata na zaidi.
 
wewe mpuuzi. anatafuta pesa kwa ajili ya kujinadi kwa wanachama. siasa za level nyingine hizi wewe kaa na hayo maccm ufundishwe wizi wa kura.
Ya binafsi nitawachangia wote MAGU na LISSU iwe jua au mvua na huo mtanange usipime wekeni utaratibu jinsi ya kuchanga
 
Haijalishi zinanywewa au zinaliwa kuku...
..., cha msingi tunachotaka ni kusema tu, kwa sauti kubwa, kuwa "HATUITAKI CCM"!
👊 ✌✌✌💥

Nyumbu huwa wakikamatwa na mamba wanarudi palepale kunywa maji. Hivyo na we nyumbu wa CHADEMA endelea kuchangia tu wenzako wakazipigie wine na smart gin hadi walewe nakuteleza. 😃 😃 😃 😃
 
Narudia tena hizi ni facts, kama unataka ngonjera utazipata kwingine. Sina shaka na ninalolisema. Hata ukimuuliza mwananchi yoyote mwenye ufahamu wa kawaida, na asiyeongozwa na hofu, atasema ninachokisema hata na zaidi.
Mwanainchi yupi huyu anae ichagua CCM kwa kishindo kila chaguzi au
 
Familia yako inakilaza mkubwa sana wanahasara kubwa
Huyu nitamchangua 150,000 kufikia mwisho wa wiki. Niko radhi familia yangu ikae kwa shida. Ni nitaongeza kadiri muda unavyokwenda. Atudhibitishe tu pesa zetu kutumika kwa shughuli husika.
 
Hawakuwa na mshindani si mlikimbia uwanjani

Hakukuwa na uchaguzi, bali ilikuwa ni ujinga na uhayawani wa kiwango cha juu. Na huu upuuzi kwenye chaguzi zetu, umeletwa na mtu ambaye hata alipokuwa mbunge alikuwa hashindi kwa box la kura.
 
Hakukuwa na uchaguzi, bali ilikuwa ni ujinga na uhayawani wa kiwango cha juu. Na huu upuuzi kwenye chaguzi zetu, umeletwa na mtu ambaye hata alipokuwa mbunge alikuwa hashindi kwa box la kura.
Na uchaguzi mkuu Bora mkimbie tu maana mtadhalilika vibaya sana
 
Anapenda
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter

View attachment 1478123
Anapenda kuchangiwa huyu, Daily michango
...michango......
 
Na uchaguzi mkuu Bora mkimbie tu maana mtadhalilika vibaya sana

Sio kwa kura, labda kama matokeo ya tume ya uchaguzi ndio huleta aibu. Safari hii utajua kuwa propaganda haziwabebi.
 
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter

View attachment 1478123

Sijaona BANK ACCOUNT NUMBER ya benki yoyote....

Pesa za uchaguzi kwa mujibu wa sheria ya matumizi ya fedha za uchaguzi ni lazima ziwe wazi...

Kukusanya kwa njia ya mitandao ya simu siyo njia sahihi sana

Basi angeweka na account ya benki ingekuwa vizuri sana...
 
Back
Top Bottom