mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Wahuni HawaPesa za kulewea mpaka miguu inavunjika zipo, za kuchukulia fomu tuchange sisi, duh..yule mama na Msigwa wao fomu wanapewa bure? afu bado mapema sana na mwenyekiti hajapata haki, kwa nini swala lake la kuvamiwa na kuvunjwa mguu tunalizima kwa kasi sana?