Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga,halafu aliyekwambia mimi ni mwanamke nani? Stay'n ur lane na ufanye yako!
Mimi pia ntamchangia Lisu laki moja.
Ila mkuu wajua hata mimi nilidhani wewe ni jinsia kinzani
 
tangu alipo ondoka Dr.slaa chadema ilipoteza mwelekeo mpaka leo hawajui wanapo kwenda, kidogo wamshukuru Lowasa aliwasaidia kuongeza idadi ya wabunge....ila mwaka huu ni hatari kubwa ni wazi kabisaa chadema hawana maandalizi.....kwa mbaaali angalau ACT wanaonekana wamejipanga..
kwakweli chadema mwaka huu imesambaratika vibaya sana.....tizama makamanda wa maana walivyo hama....mpaka nawaonea huruma..lkn msiache kupambana mpaka dakika ya mwisho.
jiandaeni kwa mwaka 2025, sio kwa mwaka huu2020 mmechelewa sn
 
Pamoja na fisiemu kuwazui wapinzani wasifanye siasa huku wao wakifanya lakini mpaka leo wanawaogopa chadema kama nini
 
Huyu nitamchangua 150,000 kufikia mwisho wa wiki. Niko radhi familia yangu ikae kwa shida. Ni nitaongeza kadiri muda unavyokwenda. Atudhibitishe tu pesa zetu kutumika kwa shughuli husika.
Tindo wewe sio wa kumtilia lisu Shaka acha maccm wawaze hivyo.
 
Nadhani hawajamfadhili
Pesa zimepelekwa kweny miradi ya maji ya hawala mpya aliyejifanya anabana, sasa hana jeuri tena ameamua kuachia mabeberu waingize rungu
Kwani mabwana zake mabeberu hawata mfadhili au?
 
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on twitter

View attachment 1478123
Wajinga ndio waliwao
Ni hatari sana kwa mgombea kutembeza bakuli hadharani,akipata urais itabidi alipe fadhila
Halafu lissu anata kula pesa za watu tu halafu asitokee kwenye kuchukua fomu kwa kisingizio cha usalama wake
 
Pamoja na fisiemu kuwazui wapinzani wasifanye siasa huku wao wakifanya lakini mpaka leo wanawaogopa chadema kama nini
chadema wamejimaliza wenyewe, nikuulize swali, je? ulawahi kufikiria kamanda kama mzee selasini na wengine unao wajua kukihama chama? mwenyekiti wa chama lazima abebe lawama za kukisambaratisha chama, na bado, je m/kiti haoni yote hayo ? chama kina mwifia mikononi?!
 
Haijalishi, lakini kweli siku zote najua ww ni ke. Au huwa unajilengesha kiaina kwa mabasha humu jukwaani? Tujilishane maana tunatumia hiyo huduma, fahamu siasa sio uadui.
Najua kinachokusumbua.Hivyo hunipi tabu
 
Saa 11 asubuhi Lissu anatangazwa mshindi magu amechuja vibaya mno siku hizi.
Ndoto hizi hamjaaza kuota leo,ameanza kuota mzee mtei mpaka amezeeka hapo chagadomo mtaitwa wapinzani mpaka mwisho wa dunia
 
Haijalishi, lakini kweli siku zote najua ww ni ke. Au huwa unajilengesha kiaina kwa mabasha humu jukwaani? Tujilishane maana tunatumia hiyo huduma, fahamu siasa sio uadui.
Isijekuwa wewe ndio unatafuta Basha maana hiyo Sacco's yenu Ina Mambo yote machafu ushoga, usagaji, uzinzi, ulevi,kula pesa za wabunge, kuwanyanyasa kingono viti maalumu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Vijana wa Lumumba almaarufu kama buku 7 wakisikia jina Tundu Lissu VIMA yanagonga kwenye pichu.Tumbo la kuendesha kabisa😂😂😂
 
Back
Top Bottom