YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mbowe delay uteuzi wa mgombea chadema Hadi ACT wazalendo watangaze wao.Hili Ni shinikizo kwa kamati kuu usikubali.Huyu anataka kutimukia ACT wazalendo anawahi kuchukua pesa za Wana chadema kabla ya uteuzi ili akibwagwa aende nazo ACT wazalendoCdm watake wasitoke huyu ndio yuko mioyoni mwetu.
Kawaida hii ya kuchangisha ilitakiwa apate uteuzi kwanza akishapata ndipo chama kiombe michango kwa wanachama kupitia akaunti za chama ili kufanikisha kampeni za mgombea uraisi aliyeteuliwa na chama
Tundu Lisu atakivuruga chama huyu anaenda ki Kama mgombea binafsi anasahau kuwa yeye anawania kupitia chama
Huyu anadharau protocol .Pesa zinachangwa kwenda individual pocket!!!???
Zinatakiwa kwenda akaunti za Chadema