Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Nitachangia laki1, na nitaendelea kuchangia kadri uhitaji utavyokua.
#LISSURAIS2020 ni tumaini kwa Watanzania wote.
Ukombozi wa kweli unakuja, tuchangie bila kujali tofauti ya vyama vyetu, kama vile Nyerere alichangiwa na kina Mbowe akalete uhuru wetu. Tanzania inamuhitaji Lissu kipindi hiki.
 
Unakielewa ulicho kiandika?
Chadema hakuna demokrasia, labda uwe umeropoka tu.
Ninachokijua ni chadema Kuna demokrasia nzr kuliko ccm yenge domokrasia maana ni magufuri ndo mwenye kusema Nani agombee na Nani hapana
 
Changia sacos hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…