Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenje 😆 anamwambia Lissu wenzio tumechukua fedha nyingi na wewe chukua ,Lissu huo mtego siwezi kuingia 😆
 
Saa 100 umejaa laana na abdul mzawa wa tumbo lako kalaaniwa tokea sasa vizazi vyote watakuita mlaaniwa
 
Kodi zetu zinatumika kulisha walioshiba. A shit country getting even shittier. Alafu utasikia kiumbe mmoja analia watu wakosoe kiustaarabu. Screw politicians and their politics.
 
Sasa ccm si waweke kue na chama kimoja tu, hizi sarakasi zote za nini??
 
Lisu hajawahi kuwa mpayukaji hata wakati mmoja. Ndiyo maana hakuna wakati hata mmoja alipowahi kufikishwa mahakamani, akapatikana na hatia. Huwa hawezi kuongea bila ya uthibitisho.

Ana uthibitisho wa Wenje kuambatana na Abdul kutaka kumhonga, lakini hana uhakika kama ili list ya viongozi wa CHADEMA ambao Wenje alidai tayari wameshawahonga, kama ilikuwa ni kweli au wengine walipachikwa tu, ili Lisu aone amebakia na viongozi wachache sana.
Kama anaogopa kuwataja itakuwa mipayuko tu, anasubiria au anaogopa nini kuwataja?
 
Back
Top Bottom