Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ingawa namuona kama mpayukaji, alete lists tuwajue hakika kimya itakuwa kama mipayuko mingine
Lisu hajawahi kuwa mpayukaji hata wakati mmoja. Ndiyo maana hakuna wakati hata mmoja alipowahi kufikishwa mahakamani, akapatikana na hatia. Huwa hawezi kuongea bila ya uthibitisho.

Ana uthibitisho wa Wenje kuambatana na Abdul kutaka kumhonga, lakini hana uhakika kama ili list ya viongozi wa CHADEMA ambao Wenje alidai tayari wameshawahonga, kama ilikuwa ni kweli au wengine walipachikwa tu, ili Lisu aone amebakia na viongozi wachache sana.
 
Mbowe ni dalali wa siasa, kama alivyovuta hela za lowasa, safari hii tena anaenda kuuza chama.
 
Lisu hajawahi kuwa mpayukaji hata wakati mmoja. Ndiyo maana hakuna wakati hata mmoja alipowahi kufikishwa mahakamani, akapatikana na hatia. Huwa hawezi kuongea bila ya uthibitisho.

Ana uthibitisho wa Wenje kuambatana na Abdul kutaka kumhonga, lakini hana uhakika kama ili list ya viongozi wa CHADEMA ambao Wenje alidai tayari wameshawahonga, kama ilikuwa ni kweli au wengine walipachikwa tu, ili Lisu aone amebakia na viongozi wachache sana.
Nasikitika sana Lissu anaingia kwenye mtego wa Fisiemu kwamba wagawanye ili uwatawale

Propaganda za Fisiemu zinamfanya Lissu ana anza kupasua chama
Hivi kweli Lissu ndio wakutilia maanani tuhuma za Msigwa dhidi ya CDM huku anajua kabisa Msigwa anaandikiwa nini cha kusema na Fisiemu baada ya kununuliwa?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM.

“Abdul aliletwa nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA wakiwa na list ndefu ya waliokwishahongwa tayari”

Samia ana uchu uliopitiliza wa madaraka. Yuko tayari kuona raia wakiteseka ili yeye abaki madarakani
 
Aamua ana uchu uliopitiliza wa madaraka. Yuko tayari kuona raia wakiteseka ili yeye abaki madarakani
Hakuna mwanasiasa asiye na uchu ndo maana hata mbowe yupo tayari chadema ife ila yeye aendelee kuwa mwenyekiti
 
Kuna vingi vingine vya kijinga sana hv kweli eti wakutumie mtoto wa rahisi kuja kukupa ongo yani chadema mnawatu waongo sana
 
Siyo kuchafua ni kweli Ezekia Wenje alimpeleka Abdul Tageta nyumbani kwa Lissu kumchombeza ahamie CCM, hivi unafikiri Lissu ni mjinga hakurecord mazungumzo yao? Nyie subirini kila kitu kitawekwa hadharani. Wenje baada ya kuona Lissu amechomoa kuchukua hela chafu ndiyo ametangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti ili kumng'oa Lissu.
Wewe nawe tumia akili mtoto wa rahisi awezi Fanya ujinga kma huo
 
Back
Top Bottom