Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Namshauri afanye uchunguzi wa kutosha na zaid apime Kauli zake kwa manufaa mapana ya nchi na chama chakeKwa hiyo unamshauri naye apokee halafu apige kimya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshauri afanye uchunguzi wa kutosha na zaid apime Kauli zake kwa manufaa mapana ya nchi na chama chakeKwa hiyo unamshauri naye apokee halafu apige kimya?
Mpaka ameyasema hayo anao ushahidi ngoja tuone kikao chao walichokaa juzi na jana kama ameliongelea huko. Hii hali ni mbaya sana na imetukatisha tamaa sisi ambao tumejitolea kufanya kazi za Chama kumbe huko juu watu wanapokea hela ili kupoozesha juhudi zetu.Namshauri afanye uchunguzi wa kutosha na zaid apime Kauli zake kwa manufaa mapana ya nchi na chama chake
Ndio maana mnaambiwa achaneni na ushabiki wa vyama mnapoteza muda wenuDuuh
Lissu hajawahi kuongea uongo na hana sababu ya kufanya hivyoDuh, Sasa ni wajibu wa Lissu kutusomea list ya Viongozi wenzake waliokwisha hongwa.
Siasa zetu zina mambo mengi sana, ila pesa zinazotumika kutafuta uongozi zitatufikisha pabaya sana.... Kama story hii ni ya kweli.
Umezoea uongoSijui ni nini kimempata Lissu kwa sasa
Naona ni kama Lissu anapambana sana kutengeneza credibility yake kuliko ya chama
Kanuni moja kubwa ya vyama vyetu vya kisiasa ni kwamba ni lazima mkubaliane kwenda pamoja, kwasasa Lissu ni kama hana imani tena na chama chake, anaongea mambo mengi sana uanayo haribu tashwira ya chama huko Cloubhouse
Magufuli alieko jehanam hawezi kutoa laana kwani yeye mwenyewe amelaaniwaLaana ya Magufuli inawatafuna chadema
Tuseme ni kwel?Lissu hajawahi kuongea uongo na hana sababu ya kufanya hivyo
Subiri TAML akupe ushahidi.Una ushahidi wa hili mkuu?
Lissu anasema na yeye kaambiwa...
Nyerere aliwah kusema, ukiambiwa Mimi ni baba yako utaamini?
Nafikiri kuna mengine zaid ya hili.
Siasa is not about ukweli au uongoUmezoea uongo
Ipo ya ngono pia, lakini sio lazima iwe pesa ya mamlaka ndio wakamatike, rushwa ni kosa pana sana. Si umeona yule padri kashtakiwa makosa zaidi ya 100 au hujamsikia?Hoja yako ingekuwa na mashiko kama hizo pesa zingekuwa za moto
Kama umekula hela za watu jipangeLisu na siasa za kuwachafua wengine na kujibrand mwenyewe
3 Sugu1) Ezekia Dibogo Wenje
2) Mch. Peter Msigwa
3).....
Hii ni zaidi ya miezi miwili iliyopitaMbona hakuyasema hayo kabla mpaka Wenje alipotangaza kuwania
Nafasi ya makamu mwenyekiti?