brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Sasa nimetambua kitu.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM.
“Abdul aliletwa nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA wakiwa na list ndefu ya waliokwishahongwa tayari”
Kumbe anaetaka kuua chadema ni ccm ili mama apite kiurahisi.
Kama ndivyo why lisu aanze chokochoko dhidi ya chadema badala ya ku blast ccm.
Kumbe basi rushwa iko zaidi ccm na sii chadema.
Lisu angetulia kichwa na kuendelea kuunga mkono chama chake wangefika mbali ila kwa sasa aondoke ili chadema ipone