Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona untaka kunitawala kimawazo niwe kama wewe? Uhuru wa maoni una maana gani kama wote tutakuwa na fokra moja?
Exquisite
Kalamu anadhani kila awazalo yeye kuhusu siasa na mustakabali ni sahihi na lazima liigwe....fikra za ajabu kabisa hizi
 
Makamu nae aiache hiyo,sio kitu Watanzania wanapenda kusikia wala sio mahitaji yetu kutoka Kwa kiongozi wa Chama kuku ya Upinzani.

Ni Watanzania wapuuzi watashangilia ujinga huu.
 
Makamu nae aiache hiyo,sio kitu Watanzania wanapenda kusikia wala sio mahitaji yetu kutoka Kwa kiongozi wa Chama kuku ya Upinzani.

Ni Watanzania wapuuzi watashangilia ujinga huu.
Kalamu ameshangilia..

Akina Erthyrocytes wameshangalia mno...

Alaa kumbe kweli wanaweza kuwa na fikra za KIPUUZI juu ya hayo ee?!! [emoji1787]
 
Hii nchi yetu ya hovyo sana. Mtoto wa Rais anatajwa mpaka kwa jina Lakini hakuna anayeshtuka. Hata Rais mwenyewe anaendelea kama Kazi. Hakuna chombo cha habari hata chenye uwezo wa kumuuliza Rais Samia.
 
Kataja abdul mtoto wa rais samia au kasema tu Abdul!?.. maana abdul wengi
 
Hii nchi yetu ya hovyo sana. Mtoto wa Rais anatajwa mpaka kwa jina Lakini hakuna anayeshtuka. Hata Rais mwenyewe anaendelea kama Kazi. Hakuna chombo cha habari hata chenye uwezo wa kumuuliza Rais Samia.
Wewe ni mtoto ?!! [emoji44]

Chombo cha habari kimuulize Rais SSH kuhusu udaku ?!! [emoji1787]

Nilisoma makala moja ya hayati Rais mzee Mkapa akielezea kuhusu ukanjanja wa baadhi ya waandishi wa habari wa Tanzania....miaka imepita ,taaluma imekua ,ukanjanja umepungua...unataka uwarudishe nyuma waandishi wetu wa habari ?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]
 
S
Kwa nchi kama South Afrika , hii tuhuma kuna watu wangekua ndani bila kujali cheo cha mtu, kama kweli Abdul alifanya uzembe mkubwa sana , alijamini nini kwenda yeye kama yeye
Sio kweli unachosema.

Mtu anakamatwa ukiwepo ushahidi wa kutosha usio na shaka sio mradi fulani karopoka basi mtu anakamatwa.

Pili mtu anapotaka kutoa rushwa anachukua tahadhari zote. Huenda Allienda nyumbani kuzungumza kwanza terms wakishakubaliana terms ndio rushwa itatolewa baadae. Huwezi kubeba hela katika kapu wakatii hujui zitatakiwa pesa,kiasi gani. Pia rushwa inatolewa kupitia maajenti ili kuondoa uwezekano wa kuzungukwa ikawa skendo.

Ilo siku itajulikana tu walishindwana wapi, je dau lilikuwa dogo au hawajashindwana ila muda wa kuondoka haujafika?

Na kama ni kweli basi dau hilo hilo linaweza kugawanywa kwa wapiga kura wa uchaguzi ndani ya chadema kisha wakamchagua mtu nwingine badala ya lissu katika hizo nafasi ya makamu mwenyekiti na ya. Mgombea urais ili kutrigger Lissu kuhama.
 
Back
Top Bottom