chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mimi sihongeki, sisi ndio kizazi kijacho cha wanamageuzi wa Tanzania, ukiweka ugoko tunaweka jiweUnatamani Dula angekualika wewe 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sihongeki, sisi ndio kizazi kijacho cha wanamageuzi wa Tanzania, ukiweka ugoko tunaweka jiweUnatamani Dula angekualika wewe 😂😂😂
Kwa mjombaHuyu Mtoto anayetembea na Mabulungutu kayatoa wapi?!
Hao wote uliowataja wanahongwa vijisenti vidogo vidogo ila huyo mwanasiasa hongo yake huwa ni bilioni kadhaa.hongo huwa inasababu, daktari akjtibu, hakimu ushinde kesi, polisi uachiwe sasa yeye wamhonge kwa lipi? kama aliona ni hongo nayeye ni wakili kwanini hakutoa taarifa takukuru?
Hawa shabiki WA Simba na Yanga hawatakuelewa. Pesa chafu ndio zimebomoa upinzani tangu enzi ya Magufuli. Hakuna jipya Serikali na Chama inatumia NGUVU ya pesa kusambaratisha wapinzani.Mbona amesema kila kitu? Aliambiwa kuwa asimseme vibaya mama wala sirikali yake. Ilikuwa hongo ya kumfunga mdomo.
Wako CDM. Inahuzunisha...kwanini Abduli hahojiwi?
..Abduli si awataje wapinzani aliowahonga ili tuwazomee?
..anatoa wapi viroba vya pesa za kuhonga?
Sijawahi kufika BelgiumUlikuwa beki tatu wake nini huko Ubelgiji? Hapo hata chai hujanywa unasema Lissu aliishi kwa kuunga unga 😃
Ona unavo adisia kama ulikuepo ? Point ni kua why asitaje wote kama ni kweliWewe acha upumbavu.
Appointment ilikuwa wakutane waongee jambo si appointment ya kupeana pesa ingawa alishaambiwa na mtu wa CHADEMA kuwa ni mshiko unakwenda kutoka.
Sasa angekataa appointment angemchana wapi kuwa hataki pesa chafu?
Lissu si kiongozi mkuu wa chama so akisema kuwa kuna kiongozi ndiye alikuwa mtu kati ni kweli kabisa labda ni chairman wake au kiongozi mwingine wa juu ndani chama chake hivyo anaweza kumweka kikaangoni mbele ya CHAIRMAN.
Huyo kiongozi bila shaka ni yule aliyehamia CCM juzi
Mkuu afazal umeona hii point"Aliambatana na kiongozi mmoja wa chadema"
Hii nchi usafi upo kwa kiwango cha chini sana, wengi mbele ya cheddar hawana ujanja.
Kama ndie huyo aliehama bhc angemtajaaa moja kwa mojaWewe acha upumbavu.
Appointment ilikuwa wakutane waongee jambo si appointment ya kupeana pesa ingawa alishaambiwa na mtu wa CHADEMA kuwa ni mshiko unakwenda kutoka.
Sasa angekataa appointment angemchana wapi kuwa hataki pesa chafu?
Lissu si kiongozi mkuu wa chama so akisema kuwa kuna kiongozi ndiye alikuwa mtu kati ni kweli kabisa labda ni chairman wake au kiongozi mwingine wa juu ndani chama chake hivyo anaweza kumweka kikaangoni mbele ya CHAIRMAN.
Huyo kiongozi bila shaka ni yule aliyehamia CCM juzi
Mkuu ukihoji unaonekana chawa cjui wabongo tukoje kila taarifa mradi ninyakuponda serikali bhc tunaibeba kama ilivomwanaume unasemaje ulihongwa? yaani wewe sio mtumishi wa umma lumpen tu ulihongwa ili iweje? hawa jamaa vipi? aseme kitu gani walichokuwa wanamshawishi nacho tujue kama kwi ilikuwepo ni ya kuhongwa, eti furushi la hela lilikuwa getini tutaaminije? atuwekee cctv footage
Lissu alishajibu hii hoja ya "Ushahidi" tena kitaalam.Ndg.Lissu atuwekee CCTV FOOTAGE ya yaliyotokea... pale nyumbani kwake anayo....
Aweke ushahidi huo....
CCM huwa wanaiba mali za umma wanakuja huhongaHili analosema Lissu ni sahihi, ccm ni mezi mno halafu wanaamini kwenye siasa kijinga za mazinga ombwe, 90% ya ccm jiba hayana uwezo binafsi wa kuongoza na kutatua kero za taifa, hata kudebate small issues hayawezi.