Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Dogo ndo umekuja mjin Jana? Takukuru which?hongo huwa inasababu, daktari akjtibu, hakimu ushinde kesi, polisi uachiwe sasa yeye wamhonge kwa lipi? kama aliona ni hongo nayeye ni wakili kwanini hakutoa taarifa takukuru?
Huyu kijana Lissu si wa kumwamini kabisaa. Ni mropokaji tuMakamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.
Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye mojawapo ya hoteli zilizopo Masaki ili apatiwe pesa hizo lakini alikataa, akasema aje nyumbani kwake Tegeta. Lissu amesema Abdul alitumia watu wa chama chake kumfikishia ujumbe huo.
Amefafanua zaidi kuwa kijana huyo alikuja nyumbani kwake, na baada ya kutaka kumpa pesa alizikataa akasema anataka kupewa pesa zenye risiti, siyo hizo za gizani. Kwenye mazungumzo hayo walikuwepo watu wanne, na walinzi wa Abdul wakiwepo nje ya nyumba yake.
Kwa mujibu wake, yeye alizikataa pesa hizo na kumwambia aende akamwambie Rais amlipe stahiki zake kwa mujibu wa sheria na siyo kumhonga, na alimpatia nyaraka zote zinazohusiana na madai yake.
Baada ya hapo hawakuwahi tena kuwasiliana.
Lissu amekataa kumtaja kiongozi wa CHADEMA aliyeambatana na Abdul.
Pia soma
Nafikiri anasubiri Abdul AKANUSHE or TAKUKURU wazinduke toka kwenye USINGIZi wa PONO..Siasa ni Science SheikhNdg.Lissu atuwekee ushahidi wa CCTV FOOTAGE...
Je ni kweli ushahidi haupoS
Sio kweli unachosema.
Mtu anakamatwa ukiwepo ushahidi wa kutosha usio na shaka sio mradi fulani karopoka basi mtu anakamatwa.
Pili mtu anapotaka kutoa rushwa anachukua tahadhari zote. Huenda Allienda nyumbani kuzungumza kwanza terms wakishakubaliana terms ndio rushwa itatolewa baadae. Huwezi kubeba hela katika kapu wakatii hujui zitatakiwa pesa,kiasi gani. Pia rushwa inatolewa kupitia maajenti ili kuondoa uwezekano wa kuzungukwa ikawa skendo.
Ilo siku itajulikana tu walishindwana wapi, je dau lilikuwa dogo au hawajashindwana ila muda wa kuondoka haujafika?
Na kama ni kweli basi dau hilo hilo linaweza kugawanywa kwa wapiga kura wa uchaguzi ndani ya chadema kisha wakamchagua mtu nwingine badala ya lissu katika hizo nafasi ya makamu mwenyekiti na ya. Mgombea urais ili kutrigger Lissu kuhama.
Salum MwalimBhc atakua mnafiki kwann asimtaje na wa chama chake tujue ni kweli?
Alaf kama alikua hazitaki kwann amuambie amletee kwake?
Siasa mchezo mchafu
Anakataa pesa ila za kuchangiwa ndio anataka si ndio? 😂😂😂😂Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.
Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye mojawapo ya hoteli zilizopo Masaki ili apatiwe pesa hizo lakini alikataa, akasema aje nyumbani kwake Tegeta. Lissu amesema Abdul alitumia watu wa chama chake kumfikishia ujumbe huo.
Amefafanua zaidi kuwa kijana huyo alikuja nyumbani kwake, na baada ya kutaka kumpa pesa alizikataa akasema anataka kupewa pesa zenye risiti, siyo hizo za gizani. Kwenye mazungumzo hayo walikuwepo watu wanne, na walinzi wa Abdul wakiwepo nje ya nyumba yake.
Kwa mujibu wake, yeye alizikataa pesa hizo na kumwambia aende akamwambie Rais amlipe stahiki zake kwa mujibu wa sheria na siyo kumhonga, na alimpatia nyaraka zote zinazohusiana na madai yake.
Baada ya hapo hawakuwahi tena kuwasiliana.
Lissu amekataa kumtaja kiongozi wa CHADEMA aliyeambatana na Abdul.
Pia soma
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😁😁😁😆😆hongo huwa inasababu, daktari akjtibu, hakimu ushinde kesi, polisi uachiwe sasa yeye wamhonge kwa lipi? kama aliona ni hongo nayeye ni wakili kwanini hakutoa taarifa takukuru?
Utakula taaluma?Huu ndiyo usomi tunaoutaka, mtu anajitambua na kuitetea taaluma yake
Nguvu yake iwe kubwa au ndogo hawezi kushinda na hakuna kitu mtafanyaCha msingi alipelekewa hongo asigombee......mwaka huu kitawaka.
Nguvu ya Lissu iko Wazi 2025 Patachimbika.
Kwanini wanahangaika kumhonga? Ina maana wanaamini Lissu anaweza kushinda kwa Kura?
Time will tell
Kwani Dp world imetoka wapi?Huyu Mtoto anayetembea na Mabulungutu kayatoa wapi?!
Mtag Abdul anitembelee na Mimi basiUmebadilika sana. Sitashangaa iwapo ulisha tembelewa na Abdul!
'Objectivity' niliyo dhani wakati mwingine, yote imeyeyushwa?
Baba yako alishawahi kukupa mshahara wake utembee nao?mshahara wa mzazi wake, au ulitaka kusemaje?
kwamazaake kizimkazi chief hangayaHuyu Mtoto anayetembea na Mabulungutu kayatoa wapi?!
Kwa njaa ya Msigwa angezichukua fastaa!!Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.