Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Could you thought, bila katiba hakuna uchaguzi hilo litafanya kazi kwa muda uliopo, "forget that shits"Ushauri wa kipumbavu kabisa huu
PumbafuHekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Kelele za hicho mtakacho ni vizuri na kwa mafanikio mema ni lazima kipiganwe bungeni kikamilifu ndipo kitakuwa na maana, chadema wamekufa akili kabisa, remember no short cut for this procedure!CPU ya ubongo wako ipo slow sana. Fanya update
Atapewa mbunge 1. Wa jimbo la mtamwbe la PembaHekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Ndiyo ukweli halisi.Pumbafu
Lisu huwa anashangaza dakika za jioniiiiHekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
chadema isiingie kwenye uchaguzi bila kurekebisha katiba,sheria na kanuniHekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Ulisoma Somo la Civics level yoyote?Chadema kwa sasa haijulikani, haina fedha haina lolote, anachokiongea mwenyekiti hakijulikani yaani vagrants!, ndiyo maana tunasema pigania viti japo 20+ ili chama kipate start up point!, kuanzia bungeni /ndani ya Bunge /
Amekuomba ushauri?Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Kwa nini unafikiria mwisho wa pua yako ya kibantu pekee?Kwa msimamo wa Lissu hata asiposhiriki uchaguzi haina shida au madhara yoyote, endapo vyama vyote vingine vitashiriki, no side effects, ni ujinga wake tu.
Mimi ndiye mtungaji wa vitabu mnavyosoma. 😊Ulisoma Somo la Civics level yoyote?
Alisoma somo la Siasa darasa la nne pekee.Ulisoma Somo la Civics level yoyote?
Hakuna lolote, namshauri Lissu kwa wema tu, maana nguvu ya chama bungeni ndiyo uhai wa chama chenyewe!