johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio sababu 🤣Mimi ndiye mtungaji wa vitabu mnavyosoma. 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu 🤣Mimi ndiye mtungaji wa vitabu mnavyosoma. 😊
Subutu yake mimi ni mbobevu, nashauri kwa wema kabisa.Alisoma somo la Siasa darasa la nne pekee.
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Unamshauri wakati ulikuwa unambeza kwenye uchaguzi wao?Hypocrisy!Hakuna lolote, namshauri Lissu kwa wema tu, maana nguvu ya chama bungeni ndiyo uhai wa chama chenyewe!
Mawazo mgando hayo!, uhai wa chama kwa 50% huonekana ndani ya Bunge.Uchaguzi ama uchafuzi....
Lisssu yupo sahihi utapeli wa CCM sasa basiiii
Huyu ccm kapaniki, anaogopa muziki wa Lisu ndiyo maana kaanza kuharaUshauri wa kipumbavu kabisa huu
Sasa hao wabunge 20+ wanapatikaje kwa tume hii ya uchaguzi ambayo inaamua nani awe mbunge na nani asiwe. Kwani 2020 CHADEMA haikuingia kwenye uchaguzi na mbona hao wabunge 20 hakufika kwa hujuma za wazi kabisa!Chadema kwa sasa haijulikani, haina fedha haina lolote, anachokiongea mwenyekiti hakijulikani yaani vagrants!, ndiyo maana tunasema pigania viti japo 20+ ili chama kipate start up point!, kuanzia bungeni /ndani ya Bunge /
Nilimbeza mbowe, nikampamba Lissu, nikifahamu, huyu ndiye sass anakuja kukimaliza na kukiua chama chenyewe, it's a matter of calculations!Unamshauri wakati ulikuwa unambeza kwenye uchaguzi wao?Hypocrisy!
Bunge lililojaa wakora wa uchaguzi - unaliita Bunge.Mawazo mgando hayo!, uhai wa chama kwa 50% huonekana ndani ya Bunge.
#CHADEMA strategic point zipo wazi, ukiitoa arusha, Yapo maeneo ambayo endapo chadema ita curb, CCM watakosa la kuzungumza kabisa, yote haya HUPANGWA MAPEMA SANA, HAKUNA MSAADA WA LOWASA HAPA.Sasa hao wabunge 20+ wanapatikaje kwa tume hii ya uchaguzi ambayo inaamua nani awe mbunge na nani asiwe. Kwani 2020 CHADEMA haikuingia kwenye uchaguzi na mbona hao wabunge 20 hakufika kwa hujuma za wazi kabisa!
Neno, kipuuzi tu ndipo ulipoharibu sio misimamo ya kipuuzi. Ila uko sawa kwenye misimamo. Alegeze masharti achague watu makini sana wa kuingia kukohoa bungeni mpaka huku nje panatetemeka hata kama hawatapata Urais nchi itachangamka.Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Nashukuru una IQ kubwa kidogo, nakubali kukosolewa kwa neno, "kipuuzi" mwono wangu ni kwamba vita vyake ni vizuri kabisa lakini bila kuanzia ndani ya chombo chenye mamlaka inakuwa #ZERO!Neno, kipuuzi tu ndipo ulipoharibu sio misimamo ya kipuuzi. Ila uko sawa kwenye misimamo. Alegeze masharti achague watu makini sana wa kuingia kukohoa bungeni mpaka huku nje panatetemeka hata kama hawatapata Urais nchi itachangamka.
We bwege toa huo ushauri wako wa akili. Sk akifiwa na chama jinga km ww utamsaidia niniUshauri wa kipumbavu kabisa huu
Suala la katiba liko mikononi mwa CCM na unaona kabisa hawana huo mwelekeo Chadema haina uwezo wa kulazimisha.chadema isiingie kwenye uchaguzi bila kurekebisha katiba,sheria na kanuni
Pumbaf mamakoPumbafu
We si kubwa jinga hunaga point.Ulisoma Somo la Civics level yoyote?