Pre GE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

Pre GE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
 
Attachments

  • IMG_1437.jpeg
    IMG_1437.jpeg
    169.2 KB · Views: 2
Chadema kwa sasa haijulikani, haina fedha haina lolote, anachokiongea mwenyekiti hakijulikani yaani vagrants!, ndiyo maana tunasema pigania viti japo 20+ ili chama kipate start up point!, kuanzia bungeni /ndani ya Bunge /
Sasa hao wabunge 20+ wanapatikaje kwa tume hii ya uchaguzi ambayo inaamua nani awe mbunge na nani asiwe. Kwani 2020 CHADEMA haikuingia kwenye uchaguzi na mbona hao wabunge 20 hakufika kwa hujuma za wazi kabisa!
 
yaani aingie ktk uchaguzi for the sake ya kuingia au aingie ktk uchaguzi only kama kuna mazingira ya haki ya kufanyika kwa uchaguzi?.

Kuingia ktk uchaguzi ili yafanyike yale ya 2019, 2020 na 2024 ni upumbavu na ni kubehave kama nyumbu, ambaye akishapigwa tukio na Simva wenzie wanasahau after 10 minutes.
 
Sasa hao wabunge 20+ wanapatikaje kwa tume hii ya uchaguzi ambayo inaamua nani awe mbunge na nani asiwe. Kwani 2020 CHADEMA haikuingia kwenye uchaguzi na mbona hao wabunge 20 hakufika kwa hujuma za wazi kabisa!
#CHADEMA strategic point zipo wazi, ukiitoa arusha, Yapo maeneo ambayo endapo chadema ita curb, CCM watakosa la kuzungumza kabisa, yote haya HUPANGWA MAPEMA SANA, HAKUNA MSAADA WA LOWASA HAPA.
 
Maskini Crocodiletooth una point ila hapa JF kwa sasa, utapigwa za usoni. Waache tu na mitizamo yao. Mwisho wa yote utasikia haukuwa Uchaguzi Bali uchafuzi
 
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Neno, kipuuzi tu ndipo ulipoharibu sio misimamo ya kipuuzi. Ila uko sawa kwenye misimamo. Alegeze masharti achague watu makini sana wa kuingia kukohoa bungeni mpaka huku nje panatetemeka hata kama hawatapata Urais nchi itachangamka.
 
Nashukuru una IQ kubwa kidogo, nakubali kukosolewa kwa neno, "kipuuzi" mwono wangu ni kwamba vita vyake ni vizuri kabisa lakini bila kuanzia ndani ya chombo chenye mamlaka inakuwa #ZERO!
 
-Katiba ya chadema inasemaji juu ya kiongozi ambaye katika utendaji wake, ataonyesha ishara za kukitumbukiza chama shimoni au kukiua?, kabla kipindi chake cha miaka mitano kukamilika, obviously vipengele kama hivi havimo kwenye katiba husika!
 
Back
Top Bottom