Pre GE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Waropokaji wanapojifanya wana uwezo wa kushauri.

Huo ushauriwako hauwezi kupokelewa na watu wote wenye akili kubwa.

CHADEMA ya sasa hailengi kupata wabunge 20 bali kuikomboa nchi kutoka kwenye ufedhuli wa CCM, kuikomboa nchi kutoka kwa wanaogawa rasilimali zetu, kama bandari, mbuga za wanyama na misitu yetu kwa waarabu, mafisadi wote wanaolindwa na CCM.
 
.
Kwa msimamo wa Lissu hata asiposhiriki uchaguzi haina shida au madhara yoyote, endapo vyama vyote vingine vitashiriki, no side effects, ni ujinga wake tu.
CHADEMA huwa haichukui ushauri kutoka crippled brains. Huo ushauri peleka CCM ili washinde kwa 100%. CHADEMA haina uhitaji wa ushauri kutoka kwa watu wenye upeo wa level yako.
 
Write your reply...2015 chadema walivyopata wabunge wengi akiwemo lissu na mbowe katiba ilikua tofauti na hii? Mbona mnawatia hofu na kuwakatisha tamaa wapiga kura wenu
 
Waropokaji wanapojifanya wana uwezo wa kushauri.

Huo ushauriwako hauwezi kupokelewa na watu wote wenye akili kubwa.

CHADEMA ya sasa hailengi kupata wabunge 20 bali kuikomboa nchi kutoka kwenye ufedhuli wa CCM, kuikomboa nchi kutoka kwa wanaogawa rasilimali zetu, kama bandari, mbuga za wanyama na misitu yetu kwa waarabu, mafisadi wote wanaolindwa na CCM.
Ushauri wa crocodiletooth, tusiuchukulie "negative". Una nguvu kubwa nyuma yake. Ccm ina nguvu, vyuoni, vijijini, dola na pesa wanayo. Tangu kizazi cha Magufuli 2015 mpaka 2025 watu wanaimba CCM CCM. Bila kuwa na plan B, Chadema watabakia wakipambana na kuishia jela, makaburini, hospitalini na wenzae wanaendelea kuuza hizo rasilimali. Ni mambo matatu matatu yafanyike. 1.Dola na usalama wa taifa waichoke kabisa CCM na kupindua meza na kuwasaidia kuwapa nchi upinzani. 2. Kuingizwa wabunge machachari watakaokuwa tishio kwa hoja na kuvusha kelele kimataifa na hatimaye kueneza sumu ya demokrasia na haki kwa nchi nzima. 3. Kuendelea kuwaamsha wananchi watakaokataa unyonge na kuliamsha nchi nzima na vurugu zitakazotishia hofu kwa watawala kiasi cha kufanya mapatanano. Hili la tatu ni gumu kutokea kwa Tanzania.
 
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!

..unafikiri CCM hawalijui hilo?

..CCM wanataka upinzani ubakie kama wa kina John Cheyo, Hashim Rungwe, na Prof.Lipumba.

..bila kubadili sheria na mifumo yaliyotokea 2019, 2020, na 2024, yatajirudia kwa asilimia 100.
 
Write your reply...2015 chadema walivyopata wabunge wengi akiwemo lissu na mbowe katiba ilikua tofauti na hii? Mbona mnawatia hofu na kuwakatisha tamaa wapiga kura wenu

..kulikuwa na tofauti kubwa kati ya 2015 na 2019 kuendelea mbele.
 
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Sisi tunataka nchi siyo ubunge
 
Utahindaje sasa kwa tume hii. Unakumbuka magifuli alitangaza wana ccm tu ushinde usishinde we ni mshindi ili mradi ni ccm.

Kwa tume hii utashindaje. Yaani unataka tupewe ubunge kama hisani tu ya sami? Hatutaki hilo. Tunataka watu wetu wakushinda watangazwe

Isitokee kama uchaguzi uliopita ambapo Lowasa alishinda lakini akatangazwa yule shetani
 
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Wabunge 20 ???
You must be joking 🙃
Lissu akikosa kabisa mwaka huu basi ni Wabunge 100 na Ushei !
Usiwachukulie poa Chadema !! 😳
 
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!

Unaweza kuongea lugha ya Aina hiyo Kwa mwenyekiti wa ccm?

Tumia lugha mzuri basi
 
S
..unafikiri CCM hawalijui hilo?

..CCM wanataka upinzani ubakie kama wa kina John Cheyo, Hashim Rungwe, na Prof.Lipumba.

..bila kubadili sheria na mifumo yaliyotokea 2019, 2020, na 2024, yatajirudia kwa asilimia 100.
Siku huwa hazigandi , ya juzi sio ya jana !
Huwezi kujua kesho kutakuwaje 😳
 
Ushauri wa crocodiletooth, tusiuchukulie "negative". Una nguvu kubwa nyuma yake. Ccm ina nguvu, vyuoni, vijijini, dola na pesa wanayo. Tangu kizazi cha Magufuli 2015 mpaka 2025 watu wanaimba CCM CCM. Bila kuwa na plan B, Chadema watabakia wakipambana na kuishia jela, makaburini, hospitalini na wenzae wanaendelea kuuza hizo rasilimali. Ni mambo matatu matatu yafanyike. 1.Dola na usalama wa taifa waichoke kabisa CCM na kupindua meza na kuwasaidia kuwapa nchi upinzani. 2. Kuingizwa wabunge machachari watakaokuwa tishio kwa hoja na kuvusha kelele kimataifa na hatimaye kueneza sumu ya demokrasia na haki kwa nchi nzima. 3. Kuendelea kuwaamsha wananchi watakaokataa unyonge na kuliamsha nchi nzima na vurugu zitakazotishia hofu kwa watawala kiasi cha kufanya mapatanano. Hili la tatu ni gumu kutokea kwa Tanzania.
Duh 🙄 !!
 
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Acha nature iamua usiipangie nature.
 
Hivi ni Kwa nini ubongo wa watu wengine umejaa vinyesi vya mawazo?
 
Back
Top Bottom