Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Waropokaji wanapojifanya wana uwezo wa kushauri.Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na madiwani wanaokubalika kwa umma, imarisha matawi, na mashina, unless otherwise chadema itakufia mikononi mwako!
Huo ushauriwako hauwezi kupokelewa na watu wote wenye akili kubwa.
CHADEMA ya sasa hailengi kupata wabunge 20 bali kuikomboa nchi kutoka kwenye ufedhuli wa CCM, kuikomboa nchi kutoka kwa wanaogawa rasilimali zetu, kama bandari, mbuga za wanyama na misitu yetu kwa waarabu, mafisadi wote wanaolindwa na CCM.