Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniani Nchi na inasheria zake Sheria ifuate mkondo wake ili wale Wahalifu wakamatwe.
 
Ni wazo jema kabisa.

..asante sana.

..binafsi siwaelewi kabisa wanaopinga waliomshambulia Lissu kukamatwa.

..kikundi cha namna hiyo kinaweza kutumika kushambulia Mtanzania mwingine.

..kwenye tukio la Lissu Watz tunatakiwa tuonyeshe UMOJA kwa kushinikiza uchunguzi ufanyike na wahusika wafikishwe mahakamani.
 
Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko.

..Ni kweli na hujakosea.

..tuachane na siasa na Lissu apewe haki yake.

..waliomshambulia sio wanasiasa ni WAUWAJI na wanastahili kukamatwa na kufikishwa mahakamani ili wahukumiwe.
 
Ndugu Igu,tuletee chanzo halisi cha taarifa yenyewe ili turned pamoja,kushindwa kufanya hivyo taarifa hiyo una maslshi binafsi nayo.
 
Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko.
Kwahiyo Sheria za Nchi hii ina Double Standard kwa Wapinzani wauwawe tu ati?
 
Na driver pia tushinikize asaidie uchunguzi
Hili suala linaweza kua rahisi sana endapo kila mhusika atashiriki kwenye uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…