..Mama aunde Tume Huru ya Uchunguzi ikate mzizi wa fitina kuhusu nani alitaka kumuua Tundu Lissu.
Ndugu, it's just a matter of time...
Hakuna kilichojificha chini ya kapeti ambacho hakitaweza kuwekwa wazi...
Tena hawa hawa wenye "serikali yao ya CCM wanaojifanya" hawajui lolote "leo" kuhusu uovu huu mbaya walioutenda wao moja kwa moja gizani ama indirectly kwa maelekezo yao, mmoja mmoja ataanza kujifunua mwenyewe au "karma" kumfunua mmoja baada ya mwingine mpaka watakapoisha wote...
Yaani hawaoni wala hata kuitambua moja ya ishara muhimu ya ONYO LA HATARI kwao la kukauka kwa shina lao la "UOVU" - kifo cha Mwendazake John Pombe Magufuli....!!
Kama shina limekatwa, matawi yatawezaje ku - survive...?
Honestly, kinachoendelea sasa ni ujinga na upumbavu wa binadamu tu kwa kuamini kuwa nguvu na madaraka ya kupita ya kibinadamu yanaweza kuwalinda dhidi ya uhalifu wao kwa binadamu wenzao...
Binadamu si kiumbe cha binadamu. Binadamu ni kiumbe cha thamani sana cha Mungu - Yehova. Mungu anatulinda na kutuhifadhi kwa gharama kubwa sana..
Hakuna awezaye kumwaga damu ya binadamu mwenzake akaepa ghadhabu ya Mungu Muumba...
Narudia tena kusema, kuwa, God The Almighty is BIGGER THAN ANYTHING....
it's just a matter of time for everything to be revealed and be put open in the sunlight...