RPC na OCD kadhaa wamehamishwa baada ya kukataa maelekezo
1) Tanzanite"Nchi hii inaihitaji Dunia, Dunia haituhitaji sisi, korosho tunalima peke yetu?, kahawa tunayo peke yetu? pamba tunalima peke yetu?, dhahabu tunayo peke yetu, tuna kitu gani 'actually' Dunia ikihitaji haiwezi kupata zaidi ya nchi yetu"- Lissu.
RPC Geita Bwana Kitinkwi, historia ya nchi hii itakuhukumu kama Mtanzania mtenda haki. Umekataa kudhulumu watu haki yao ya Msingi kwa kuwafurahisha CCM. Umetenda haki lakini umelipwa udhalimu na Mabedui wa CCM. Wewe na askari wako waliowekwa mahabusu kwa kutenda haki Mungu atatenda makuu dhidi yenu.RPC na OCD kadhaa wamehamishwa baada ya kukataa maelekezo
Mkuu mbona unaumia....amesemaa Uchumi wa Duniani umeanganika na inategemeana...kinachotakiwa Ni Mahusiano mema na Dunia...Kama Ni biashara mikataba iwe wazi huo ndio uhusiano mwema kiuchumi na kibiashara!Sasa hapo ndipo ninapotofautiana na Lissu. Ubeberu ni real, na asitufanye kwamba hatuoni uhuni wa mashirika makubwa ya kibeberu yanayojikita katika nchi maskini yakitake advantage ya mifumo mibovu ya usimamizi wa raslimali ya serikali za nchi maskini.
Pili, kauli za style ya Lissu anayeizungumzia nchi yake kama isiyojiweza na inayetegemea serikali za magharibi ili tuishi ni kauli za kipumbavu mtu yeyote huru na anayejiamini na anayoipenda nchi yake hawezi kuiunga mkono. Kwamba sisi hatuwezi kujitegemea? Huku kujidharau abaki nako yeye, sisi tunaweza na tunajiweza inferiority complex aliyo nayo yeye ni yake mwenyewe.
Hao ni Wanachama wa CCM, lakini pia ni Watanzania. Kwani CCM mmeshindwa kuwatetea wanachama wenu?Agusie na jinsi atakavyowatetea James Delicious na Amber ruty kwenye hukumu yao
Shida misukule ya lumumba hamna akili..... Anasema hatuwezi kujitegemea kwa sababu tunategemeana....... Huwezi kuishi in isolation km huyu mjinga mshamba na limbukeni anavyotaka iwe na tayari keshaharibu uchumi na mahusiano mema na nchi rafiki.....Sasa hapo ndipo ninapotofautiana na Lissu. Ubeberu ni real, na asitufanye kwamba hatuoni uhuni wa mashirika makubwa ya kibeberu yanayojikita katika nchi maskini yakitake advantage ya mifumo mibovu ya usimamizi wa raslimali ya serikali za nchi maskini.
Pili, kauli za style ya Lissu anayeizungumzia nchi yake kama isiyojiweza na inayetegemea serikali za magharibi ili tuishi ni kauli za kipumbavu mtu yeyote huru na anayejiamini na anayoipenda nchi yake hawezi kuiunga mkono. Kwamba sisi hatuwezi kujitegemea? Huku kujidharau abaki nako yeye, sisi tunaweza na tunajiweza inferiority complex aliyo nayo yeye ni yake mwenyewe.
Ni kweli 100%. Kosa lao ni kuwadhibiti wahuni wa Ccm wakiongozwa na Katibu wa Ccm wilaya ya Geita waliokwenda kuanzisha vurugu kwenye msafara wa Lissu wakakumbana na kibano cha Polisi na vijana wa CHADEMA.Duuu mkuu, ni kweli haya usemayo?
Kama aliweza kuwaachia walawit na wabakaji akina nguza na babu seya hatashindwa kuwaachia watoa tigo endapo kwa bahati mbaya wa tz watajisahau kumpa tena mitanoAgusie na jinsi atakavyowatetea James Delicious na Amber ruty kwenye hukumu yao
lissu analeta janja janja"Serikali yangu itakuwa na 'complete freedom' ili ku-stimulate uchumi mzima, ukishusha vifaa vya ujenzi watu wataweza kujenga nyumba zilizo bora"- Lissu.
Kutegemeana kwa dunia ni jambo moja, lakini kusema kwamba Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania ni jambo jingine tena la kipuuzi. Unawezaje kuwatoa wananchi wako katika lindi la umaskini usipowapandikizia spirit ya ujasiri, kujiamini na kujithamini. Kama mtu binafsi na kama taifa?Dunia ni kijiji mkuu nchi zinategemeana ndio maana viongozi wako wengi huenda kutibiwa Apolo India hata Dreamliner haikutengenezwa Chato Geita imetoka kwa mabeberu.
Ana audience yake wanayoshangilia kila kitu as days go wanamuaminisha watanzania wote hamnazo na watu wote rahisi kuwahadaa kama wafuasi wa CDM.lissu analeta janja janja
huwezi kushusha bei ya cement kama vile unavyoshusha bei ya kupima viwanja
Kuna gharama za uzalishaji na uendeshaji mpaka kuzalisha
lissu aache janja janja
Endelea kulala usingizi wa pono.Hata afanyeje Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii.
Dangote alipooanza alikuwa anauza cement kwa sh 9,000,lkn baada ya kupigwa mkwara akapandishalissu analeta janja janja
huwezi kushusha bei ya cement kama vile unavyoshusha bei ya kupima viwanja
Kuna gharama za uzalishaji na uendeshaji mpaka kuzalisha
lissu aache janja janja
Iko wazi sana !Ninahakika hata wanahabari na wanamiliki wa vyombo vya habari watampigia kura Lissu.