Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

"Nchi hii inaihitaji Dunia, Dunia haituhitaji sisi, korosho tunalima peke yetu?, kahawa tunayo peke yetu? pamba tunalima peke yetu?, dhahabu tunayo peke yetu, tuna kitu gani 'actually' Dunia ikihitaji haiwezi kupata zaidi ya nchi yetu"- Lissu.
1) Tanzanite
2) Amani
3) Ardhi kubwa yenye Futuna
4) Hunting Blocks
5) Kahawa Bora kabisa
6) Samaki wa maji baridi
7) Reserve kubwa ya Madini, mafuta na gesi
8) mawese na migebuka
9) Bandari za kutosha
10) zabibu Bora Kwa ajili ya mvinyo.
 
Chadema,Chadema,Chadema....Kama viongozi wataifa na Singida mpo humu.naomba muongeze juhudi nakasi ya kampeni apa jimbo la Singida mjni.mnalichukua mchana kweupe kabsa.me nmkazi wamwanza mjn,ila nakuja Sana Singida kuchukua vitunguu.leo nimara ya3 nashuhudia CCM wakizomewa.nko apa soko lavtunguu muda huu baada yausafi waleo kunadiwani mmoja ametununulia uji najuice wote sokon alpo malza akaanza kumpgia kampeni mgombea waCcm mussa sima.kazomewa nawatu hawataki kuskia naskia Kuna mdada wachadema ndio anagombea apa wanasema uyo ndio wanamchagua safar hii.nlshuhudia pia skuile mbele yarais akipngwa nakuzomewa nawananchi adi magufuri akamtetea.apa Chadema Jimbo lenu ili mshndwe wenyewe
 
RPC na OCD kadhaa wamehamishwa baada ya kukataa maelekezo
RPC Geita Bwana Kitinkwi, historia ya nchi hii itakuhukumu kama Mtanzania mtenda haki. Umekataa kudhulumu watu haki yao ya Msingi kwa kuwafurahisha CCM. Umetenda haki lakini umelipwa udhalimu na Mabedui wa CCM. Wewe na askari wako waliowekwa mahabusu kwa kutenda haki Mungu atatenda makuu dhidi yenu.
 
Sasa hapo ndipo ninapotofautiana na Lissu. Ubeberu ni real, na asitufanye kwamba hatuoni uhuni wa mashirika makubwa ya kibeberu yanayojikita katika nchi maskini yakitake advantage ya mifumo mibovu ya usimamizi wa raslimali ya serikali za nchi maskini.

Pili, kauli za style ya Lissu anayeizungumzia nchi yake kama isiyojiweza na inayetegemea serikali za magharibi ili tuishi ni kauli za kipumbavu mtu yeyote huru na anayejiamini na anayoipenda nchi yake hawezi kuiunga mkono. Kwamba sisi hatuwezi kujitegemea? Huku kujidharau abaki nako yeye, sisi tunaweza na tunajiweza inferiority complex aliyo nayo yeye ni yake mwenyewe.
Mkuu mbona unaumia....amesemaa Uchumi wa Duniani umeanganika na inategemeana...kinachotakiwa Ni Mahusiano mema na Dunia...Kama Ni biashara mikataba iwe wazi huo ndio uhusiano mwema kiuchumi na kibiashara!
Katika Uchumi tulionao Sasa kuwatafuta Mabeberu Ni ujinga na kujidanganya!
Ubepari siku zote unatafuta faida...ukiwa mjinga unakuwa!
Hiki ndicho Lissu amekipagania tangu Ujana wake kuhakikisha uhusiano mwema ktk Biashara kwa kuakikikshaa Mikataba ya Serikali na Makampuni ya nje unakuwa na uwazi!
 
Sasa hapo ndipo ninapotofautiana na Lissu. Ubeberu ni real, na asitufanye kwamba hatuoni uhuni wa mashirika makubwa ya kibeberu yanayojikita katika nchi maskini yakitake advantage ya mifumo mibovu ya usimamizi wa raslimali ya serikali za nchi maskini.

Pili, kauli za style ya Lissu anayeizungumzia nchi yake kama isiyojiweza na inayetegemea serikali za magharibi ili tuishi ni kauli za kipumbavu mtu yeyote huru na anayejiamini na anayoipenda nchi yake hawezi kuiunga mkono. Kwamba sisi hatuwezi kujitegemea? Huku kujidharau abaki nako yeye, sisi tunaweza na tunajiweza inferiority complex aliyo nayo yeye ni yake mwenyewe.
Shida misukule ya lumumba hamna akili..... Anasema hatuwezi kujitegemea kwa sababu tunategemeana....... Huwezi kuishi in isolation km huyu mjinga mshamba na limbukeni anavyotaka iwe na tayari keshaharibu uchumi na mahusiano mema na nchi rafiki.....

Kenya ni mabeberu? Mbona wamewekeza sn hapa tanzania?

Kinachotakiwa ni winwin situatuation.... Ndio maana Kikwete alisema ili ule ni lazima na ww uliwe kidogo so cha muhimu ni mabeberu ccm kusaini mikataba ambayo sio ya kinyonyaji lkn hawajawahi WAO CCM MIKATABA YOTE YA KIFISADI NA ISIYONA MANUFAAA NA NCHI WANAIPIGIA MAKOFI PALE BUNGENI ALAFU MNAKUJA BAADHI YA MBWA KM WW MNASEMA KUNA MABEBERU. BEBERU WA NCHI NI NI CCM NA NDIO LAANA YA NCHI
 
Hajui ata hizo hela za fidia anazo ahidi atatoa wapi let alone za kuongeza mishahara ya wafanyakazi kama angeulizwa wala za kulipa madeni ya nchi halafu atashusha kodi.

Kupunguza matumizi ya serikali Lissu atafuta wakuu wa mikoa na wilaya hawana shughuli kwa mujibu wake on the same token of cost anapendekeza serikali za majimbo which is more costly to run, creates more employment and higher bill for taxpayers.

Halafu kuna mapoyoyo utawasikia Lissu ni mpango wa Mungu mtu ambae anajiropekea tu.
 
"Serikali yangu itakuwa na 'complete freedom' ili ku-stimulate uchumi mzima, ukishusha vifaa vya ujenzi watu wataweza kujenga nyumba zilizo bora"- Lissu.
lissu analeta janja janja
huwezi kushusha bei ya cement kama vile unavyoshusha bei ya kupima viwanja
Kuna gharama za uzalishaji na uendeshaji mpaka kuzalisha
lissu aache janja janja
 
Dunia ni kijiji mkuu nchi zinategemeana ndio maana viongozi wako wengi huenda kutibiwa Apolo India hata Dreamliner haikutengenezwa Chato Geita imetoka kwa mabeberu.
Kutegemeana kwa dunia ni jambo moja, lakini kusema kwamba Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania ni jambo jingine tena la kipuuzi. Unawezaje kuwatoa wananchi wako katika lindi la umaskini usipowapandikizia spirit ya ujasiri, kujiamini na kujithamini. Kama mtu binafsi na kama taifa?

Walau aseme utawala wake utawekeza katika sera ya nje itakayojenga mahusiano bora na nchi tajiri ili kuweka balance kati ya uwekezaji wa manufaa kwa nchi na kujenga local capacity.

I am afraid to say, Magufuli na CCM yake pamoja na makosa yao yote wanaonekana kama reliable and responsible candidates kuipeleka nchi yetu mbele. Wakisaidiwa na kauli za kizembe kama hizi kutoka kwa Lissu.
 
lissu analeta janja janja
huwezi kushusha bei ya cement kama vile unavyoshusha bei ya kupima viwanja
Kuna gharama za uzalishaji na uendeshaji mpaka kuzalisha
lissu aache janja janja
Ana audience yake wanayoshangilia kila kitu as days go wanamuaminisha watanzania wote hamnazo na watu wote rahisi kuwahadaa kama wafuasi wa CDM.
 
Back
Top Bottom