Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Hujakatazwa kuropoka pia.
 
Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;

Makini,

Msomi,

Muelewa,

Mwenye busara,

Mwenye Utu,

Mtanzania mzalendo;

Anayetambua Urais ni Taasisi na si mtu binafsi! . . Katika Uchaguzi huu mtu huyo ni Tundu Lissu!!
Ndugu nafasi ya uraisi inataka kiongozi mwenye vision ya kuwatoa watu sehemu moja kwenda nyingine.

Sasa kutokana na limited resources za Tanzania mtu anaetoa ahadi ya kufanya kila kitu he is not serious na wala hajui serikali inavyoendeshwa.

Hivi wewe kwa akili zako timamu unaweza badili mfumo kutoka unitary system to federal over night? Think that in terms of the planning required to recruit, training, having different experts on matters of economy, taxation, health (technocrats wa kila jimbo) kuna hao viongozi wenye vision za kuongoza hayo majimbo, were will there first budgets za kila jimbo come from?

In short ata ingepigwa kura ya maoni watu wakachagua serikali ya majimbo planning and implementation inaweza chukua miaka mitano. Yeye anakwambia akishinda tu kutakuwa na serikali ya majimbo wewe kweli unaona huyo mtu anafahamu utekelezaji wa mambo anayoongea au anaropoka tu.

Shabiki yeyote wa Lissu udhani kama anaelewa how the world revolve ni kushabikia ujinga tu.
 
Lissu naomba uwaambie ujinga wa magufuli dhidi ya kenya,umeifanya Kenya iagize millions of tons ya mahindi kutoka Mexico kiasi kwamba wakulima wetu na maize processors waliokuwa wanategemea masoko ya Kenya biashara zao zimeyumba sana
 
Pamoja na pumba zako hizi, sita shangaa nikiambiwa kuwa nawe ni msomi mzuri tu!
 
Vitu vya beberu ndivyo magufuli anavyochukulia ujiko
 
Natamani ningepewa nafasi ya kujibu hilo swali la NEO colonialism vs our resources
 
Mkuu wewe ndo hujui au hujaelewa,kuna mtu anaweza badiri katiba for a single day?
 
...ili ku-stimulate uchumi mzima, ukishusha vifaa vya ujenzi watu wataweza kujenga nyumba zilizo bora"- Lissu.
Ni ubabaishaji kwa kwenda mbele kutoka kwa mgombea wa chama cha Mbowe...atoe 'model of operation' itakayodhibitisha kuwa wazo lake hili linatekelezeka bila kuathiri maeneo mengine!!
 
"Nchi hii inaihitaji Dunia, Dunia haituhitaji sisi, korosho tunalima peke yetu?, kahawa tunayo peke yetu? pamba tunalima peke yetu?, dhahabu tunayo peke yetu, tuna kitu gani 'actually' Dunia ikihitaji haiwezi kupata zaidi ya nchi yetu"- Lissu.
Maneno kuntu
 
Tuhuma anazoziibua Lissu zinahitaji utekelezaji zaidi kuliko kuzijibu;
Serikali haijaajiri kwa miaka 5 inatakiwa itoe ajira,Wafanyakazi hawajaaongezewa mishahara inatakiwa waongezewe mishahara,Waliovunjiwa nyumba zao walipwe fidia,fao la kujitoa lirudishwe,Waliofungwa kesi za kusingiziwa waachiwe huru
Wavuvi kuchomewa nyavu zao na kuwawa na tanapa,walipwe fidia,waombwe msamaha na waliofanya hayo waadhibiwe kwa mujibu wa sheria n.k.
Kujibu hoja za Lissu kwa maneno ni kuendelea kujidhalilisha!
 
From today l have come to my conclusion....kutoka tupate uhuru kwenye uongozi wa TZ haijawahi kutokea kiongozi very smart kama Mr Lissu.

Disclaimer: Si kulazimishe kukubaliana na mimi
Upo sawa kabisa, hata Magufuli na CCM yake wanajua hivyo.
 
From today l have come to my conclusion....kutoka tupate uhuru kwenye uongozi wa TZ haijawahi kutokea kiongozi very smart kama Mr Lissu.

Disclaimer: Si kulazimishe kukubaliana na mimi
Ukiwa CCM hata ukiwa smart inabidi ujifanye boya kwanza ndipo uweze kuendana na mfumo wao.
Rejea;PhD Holders na maprofesa walioko CCM,kabla na baada ya kujiunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…